Ufungaji wa Pembea Mpya Bustani ya Jamuhuri kwa Ajili ya Eid Fitry.
Mmiliki wa Kituo cha Michezo ya Watoto katika bustani ya Jamuhuri WelesKuchezea
View ArticleUnaikumbuka timu hii
Wenye kumbukumbu ni timu gani hii. Unaweza kutupatia majina ya wachezaji?
View ArticleWazo - Mitaala ya skuli za maandalizi iandaliwe pamoja
Na Khadija Khamis Maelezo Imeelezwa kuwa iko haja ya Serikali kuandaa mitaala ya pamoja katika Skuli za maandalizi ili kuepuka kutofautiana kiuwezo wa elimu kwa wanafunzi wa Skuli za Serikali na...
View ArticleWanafunzi 161 walipiwa ada ya masomo na posho
Na Miza Othman, Maelezo Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imesema kwamba Jumla ya wanafunzi 161 wamewalipiwa ada ya Masomo na Posho mbali mbali kwa wale wanaoendelea na Masomo katika vyuo mbalimbali vya...
View ArticleConstitution Forum Received Well After Sensitisation
Issa Yussuf AFTER months of heated debate during the first phase of the proposed new Union Constitution, Zanzibar is relatively calm, after the second phase of kicked off last Friday. Thanks to the...
View ArticleDk. Shein aipongeza UNICEF kwa kusaidia Zanzibar. Atuma rambirambi vifo vya...
Na Rajab Mkasaba, IkuluRAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amelipongeza Shirika la Umoja wa Mataifa linalowahudumia Watoto (UNICEF), kwa juhudi zake za...
View ArticleUN kuifanyia uchunguzi miili ya wanajeshi wa Tanzania. Mmoja ahamishiwa...
Na Mwandishi wetuMIILI ya wanajeshi wa Tanzania waliouawa katika jimbo Nyala katika mji wa Darfur nchini Sudan, itafanyiwa uchunguzi na Umoja wa Mataifa kabla ya kurejeshwa nyumbani kwa taratibu za...
View ArticleMabaraza yaanza kuifumua rasimu ya katiba.
Wataka Rais kwa awamu Makamu awe Rais wa upande mmoja Na Haroub HusseinWAJUMBE wa Baraza la Katiba la Wilaya ya Kati wametaka katiba mpya ieleze utaratibu wa kupatikana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleHadithi ya leo (8)
Mtume Muhammad Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam amesema:الصِّيَامُ جُنَّةٌ، فَإِذَا كَانَ أَحَدُكُمْ صَائِمًا فَلَا يَرْفُثْ وَ لَا يَجْهَلْ، فَإِنِ امْرُؤٌ قَاتَلَهُ أَوْ شَاتَمَهُ فَلْيَقُلْ إِنِّي...
View ArticleMradi wa Maji Jimbo la Kikwajuni wamalizika Awamu ya Kwanza kwa Uchimbaji...
Mtaalamu wa Uchimbaji wa Visima kutoka Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) Mohammed Abdalla , akitowa maelezo baada ya kukamilika kwa Mradi Mkubwa wa Jimbo la Kikwajuni la Uchimbaji wa Kisiwa kwa awamu ya...
View ArticleBenki ya Watu wa Zanzibar Yakabidhi Vitabu kwa Watoto wa Skuli za Maandalizi...
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour, (kushoto) akimkabidhi Vitabu Mwenyekiti wa Zanzibar Madrasa Resourse Center Khamis Said, kwa ajili ya matumizi wa Wanafunzi wa Skuli za...
View ArticleBonaza la Supa Soko likiendelea katika Viwanja vya Malinzi Zenj...
Msimamo wa matokeo ya Michezo ya Bonaza la Supa Soko, kwa timu shiriki linalodhaminiwa na Kampuni ya Zantel chi ya Usimamizi wa Supa Soko. Mchezaji wa timu ya Archelago kushoto akijaribu kumpita...
View ArticleMama Mwanamwema Shein akabidhi Vyakula Vijana wa Sober house.
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiwakabidhi Viongozi wa nyumba za Vijana walioacha matumizi ya dawa za kulevya Zanzibar Sober House Salum na Amina...
View ArticleMzee Lowasa Asifia Rais Kikwete Marekani.
Na Swahili TVAliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Edward Lowassa, amemsifia Rais Jakaya Kikwete kuwa ameweza kuifanya Tanzania kupata heshima katika ulingo wa kimataifa, aliyasema hayo wakati...
View Article