Zanzibar yakubali masharti ya maziwa makuu kuhusu ubakaji
Na Ali Issa Maelezo Zanzibar Baraza la Mapnduzi Zanzibar limetoa Maamuzi juu ya suala zima la Ubakaji kisini Zanzibar kwa kuyakubali Masharti yaliotolewa na Nchi za Maziwa Makuu katika mkutano...
View ArticleDk Bilal kutana na Balozi wa Uholanzi anaemaliza muda wake
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania, Mhe. Ad Koekkoek, aliyemaliza muda wake nchini, wakati alipofika...
View ArticleBei ya Vyakula Juu Zenj....
Na Hafsa GoloPAMOJA na Serikali kuwataka wafanyabiashara wasipandishe bei za bidhaa hasa katika mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani,lakini hali imekuwa tafauti siku moja tu Waislamu kuanza kutekeleza...
View ArticleBasi Latekwa kwa Mawe, Mapanga. Abiria Waporwa Wajeruhiwa.
Na.Kadama Malunde, ShinyangaWATU wasiojulikana wanaokadiriwa kufikia kumi wakiwa na mawe na mapanga wameteka magari mawili likiwemo basi la Nkamba’s kisha kupora fedha na simu za abiria na kujeruhi...
View ArticleWagomea Mazishi Wakidai Marehemu alikuwa na VVU.
Na Masanja Mabula, PembaBAADHI wananchi wa Shehia ya Ukunjwi Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, wamegomea mazishi ya marehemu aliyekuwa anaishi ya VVU.Taarifa ambazo zimepatikana na mwandishi wa...
View ArticleDk Shein akutana na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Uingereza anayeshuhulikia masuala ya Afrika Bw. Mark Simmonds, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar,leo...
View ArticleBenki ya Watu wa Zanzibar Yaipiga Jeki Kikwajuni Saccos Bank yaipatia Seti za...
Meneja Masoko wa Benki ya Watu wa Zanzibar Seif Suleiman, akimkabidhi seti ya Tatu za Computer Mwenyekiti wa Kikwajuni Saccos Bank, Tatu Tawakal, kwa ajili ya matumizi ya Benki hiyo, makabidhiano hayo...
View ArticleRais Kikwete Akutana na Waziri wa Uingereza Anayeshughulikia Afrika Ikulu Leo.
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimsindikiza Mgeni wake Waziri wa Uingereza anayeshughulikia maswala ya Afrika Mhe Mark Simmonds Ikulu jijini Dar es salaam Rais...
View ArticleMaalim Seif akutana na Waziri wa Uingereza anaeshuhulikia masuala ya Afrika
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akisalimiana na Naibu Waziri wa Uingereza anayehusika na Mambo ya Nje na Jumuiya ya Madola, Mark Simmonds, alipofika nyumbani kwake Mbweni...
View ArticleKikosi cha Timu ya Kikwajuni kikijiandaa kurudi Ligi Kuu ya Zanzibar.
Tutarudi na kurudisha hadhi yetu ya miaka ya 1970, ndivyo inavyoonekana vijana hawa wakisema wakati wa mazoezi yao. Kikosi cha timu ya Kikwajuni kikiwa chini ya Jopo la Makocha wake Burhani Msoma,...
View ArticleHadithi ya leo (4)
Mtume Muhammad Swalla Allaahu ‘Alayhi wasallam amesema:للصائم فرحتان فرحة عند فطره، وفرحة عند لقاء ربه " رواه البخاريMwenye kufunga huwa na furaha mbili. Furaha ya kwanza wakati anapofuturu na furaha...
View ArticleMaoni ya kamati ya maendeleo ya wanawake na ustawi wa jamii
HOTUBA YA MAONI YA KAMATI YA MAENDELEO YA WANAWAKE NA USTAWI WA JAMII KUHUSIANA NA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI KWA MWAKA WA FEDHA 2013/2014.Mheshimiwa...
View ArticleMaalim Seif akutana na wawakilishi wa Unicef
Makamu Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akibadilisha mawazo na mwakilishi wa UNICEF Tanzania Jama Gulaid ofisini kwake Migombani. Kulia ni Mkuu wa UNICEF Zanzibar Francesca...
View ArticleDk Shein akutana na Wawakilishi wa Unicef nchini
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwakilishi wa UNICEF nchini Tanzania Dk.Juma Gulaid,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumtambulisha Mkuu mpya...
View ArticleHadithi ya leo (7)
Mtume Muhammad Swalla Allaahu ‘alayhi wasallam amesema:"رب صائم ليس له من صومه إلا الجوع، ورب قائم ليس له من قيامه إلا السهر" رواهالنسائي Ole wake mwenye kufunga na asipate chochote katika funga...
View ArticleZanzibar wapendekeza Tanganyika kuwa huru
Na Ussi Talib Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba Wilaya ya Kati Unguja, wamependekeza Katiba ijayo itamke rasmi kuwa mshirika wa Muungano ni Tanganyika na siyo Tanzania bara.Maoni hayo yalitolewa jana huko...
View Article