Watatu Mbaroni kwa Kukutwa na Bastola.
Na Asya HassanJESHI la Polisi Zanzibar linawashikilia watu watatu baada ya kupatikana na silaha aina ya piston inayosadikiwa kutumika katika matukio kadhaa ya uhalifu visiwani humo.Kamishna wa Polisi...
View ArticleTanzania Yatisha kwa Ufisadi
Na Mwandishi WetuSHIRIKA la Transparency International limesema hali ya ufisadi inatisha nchini Tanzania ambapo matokeo ya utafiti yanaonesha huduma muhimu za kijamii zimeendelea kupatikana kwa...
View ArticleTume ya Katiba Yasema LHRC Inawapotosha Wananchi.
Na Mwandishi Wetu, DSM TUME ya Mabadiliko ya Katiba imetoa ufafanuzi kuhusu rasimu ya katiba iliyotolewa hivi karibuni kwa lugha kiingereza na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) na kusema...
View ArticleIkulu Yasikitishwa na Gazeti Kumzulia Rais.
OFISI ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi imeelezea kusikitishwa na habari iliyochapishwa na gazeti la Nipashe toleo namba 057807 la Jumanne Julai 9, 2013 yenye kichwa cha habari “Shein...
View ArticleMaambukizi ya VVU kwa Wanaoishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Yapungua
Kauthar Abdalla na Asya HassanSERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imesema maambukizo ya Virusi vya Ukimwi kwa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja yamepungua kutoka asilimia 12.3 (2007) hadi asilimia...
View ArticleDkt. Shein Aonya Wanaohatarisha Maisha ya Wengine. Ni kwa Kuwauzia Bidhaa...
Na Rajab Mkasaba, IkuluSERIKALI haitovumilia kuona watu wanaohatarisha maisha na afya za wengine kwa kuwauzia bidhaa zilizopitwa na wakati, mbovu,bei ya juu na zisizokuwa na vipimo bora hasa katika...
View ArticleRais Kikwete aagana na Mabalozi Wapya Ikulu Dar-es-Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na mabalozi saba walioteuliwa hivi karibuni na kuagana nao kabla hawajaripoti kwenye vituo vyao katika nchi mbali mbali leo Ikulu jijini Dar es salaam. Mabalozi...
View ArticleMaalim Seif aipongeza Wizara ya Kilimo Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad, akipokea vitabu vinavyohusu kilimo cha mboga mboga kutoka kwa mwenyekiti wa Jumuiya ya TAHA COLMAN NGALO, walipokutana ofisini kwake...
View ArticleDk Shein akutana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Korea Kusini
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Korea Kusini Kang Chang Hee,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na Ujumbe wake...
View ArticleViongozi CCM Kisonge Wangolewa kwa Kukiuka Maadali, Ubadhilifu. Wenyewe Wadai...
Na Salum Vuai, MaelezoSUITAFAHAMU imeikumba maskani ‘kaka’ ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Muembekisonge, kufuatia uongozi wa Wadi ya Rahaleo kutangaza kuwang’oa viongozi wa maskani hiyo kwa madai ya...
View ArticleSMZ Yaipongeza SMT Kuteketeza Unga Mbovu.
Na Mwajuma Mmanga, Naima Hamza, MSJSERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (SMT) kwa kufanikisha kazi za kuondoa unga wa ngano mbovu jumla ya...
View ArticleSMZ Kesi za Udhalilishaji Hazipati Hukumu Stahiki. Wawakilishi Wataka Utafiti...
Na Khamis AmaniKESI nyingi za udhalilishaji wa kijinsia zinazoripotiwa Unguja na Pemba hazipati hukumu ipasavyo, kutokana na mapungufu mbali mbali hali inayosababisha kushamiri kwa vitendo hivyo.Hivyo...
View ArticleJK. Hakuna Kijana Anaekufa katika Mafunzo ya Kijeshi.
Na Mwandishi wetu, DSMAMIRI Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama, Rais Jakaya Kikwete, amesema hakuna kijana anaekufa katika mafunzo ya kijeshi kwa sababu mafunzo wanayopewa.Akizungumza katika...
View ArticlePolisi Yawaonya Wanaokula Hadharani
Na Maryam Salim, PembaPOLISI Mkoa wa Kusini Pemba, limewataka wananchi kuwa na utamaduni wa kuvumiliana kidini na kuheshimu imani za wengine, kwa kuepuka kula hadharani katika mfungo wa mwezi mtukufu...
View ArticleSpika wa Bunge la Korea Atembelea Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Spika wa Bunge la Korea Kang Chang Hee akiwasalimia Wajumbe wa Baraza la Wawakilisha alipofika katika jengo la Baraza na Kutambulishwa kwa wajumbe. Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Pandu Ameir...
View ArticleHadithi ya Leo (3)
Amesema Mtume Swalla Allaahu ‘Alayhi wasallam:الصِّيَامُ وَالْقُرْآنُ يَشْفَعَانِ لِلْعَبْدِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ، يَقُولُ الصِّيَامُ: أَيْ رَبِّ مَنَعْتُهُ الطَّعَامَ وَالشَّهَوَاتِ بِالنَّهَارِ،...
View ArticleHati 344 kwa ajili ya kilimo na mkaazi zatolewa
Na Ali Issa Maelezo Zanzibar Waziri wa Ardhi Makazi Maji na Nishati Ramadhani abdalla Shaabani amesema Jumla ya hati 344 zimetolewa katika maeneo mbali mbali ya Unguja na Pemba ambapo hati 35 kwa...
View ArticlePolisi Zanzibar yakamata bastola inayosadikiwa kutumika katika vitendo vya...
Na Frank Geofray-Jeshi la Polisi ,Zanzibar.Jeshi la Polisi Zanzibar limefanikiwa kuwakamata watu watatu wanaosadikiwa kujihusisha na vitendo vya uhalifu wakiwa na bastola moja ambayo ilikuwa imefichwa...
View Article