Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Benki ya Watu wa Zanzibar Yakabidhi Vitabu kwa Watoto wa Skuli za Maandalizi Chekechea Zanzibar.

$
0
0
 
 MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour, (kushoto) akimkabidhi Vitabu Mwenyekiti wa Zanzibar Madrasa Resourse Center  Khamis Said, kwa ajili ya matumizi wa Wanafunzi wa Skuli za Maandalizi za Madrasa Resourse Center Zanzibar jumla ya Skuli hizo 84 zitafaidika na vitabu hivyo vya kusoma na kujifunzi kusoma na kuandika.vikiwa na thamani ya shilingi milioni 7.5, vya aina nne tafaut
MKURUGENZI Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour, (kushoto) akimkabidhi VitabuMsaidizi Mkurugenzi wa  Zanzibar Madrasa Resourse Center Ali Abdalla Amani. kwa ajili ya matumizi wa Wanafunzi wa Skuli za Maandalizi za Madrasa Resourse Center Zanzibar jumla ya Skuli hizo 84 zitafaidika na vitabu hivyo vya kusoma na kujifunzi kusoma na kuandika.vikiwa na thamani ya shilingi milioni 7.5, vya aina nne tafaut
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Juma Amour,akizungumza na Viongozi wa ZMRC, katika hafla ya kuwakabidhi Vitabu kwa ajili ya skuli za Madrasa za chekechea.makabidhiano hayo yamefanyika katika ofizi za PBZ Malindi Zanzibar. 

Mwenyekiti wa ZMRC Khamis Said akitowa shukrani kwa Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, kwa msaada wao kuwawezesha Wanafunzi wa Skuli za maadalizi, kupata vitabu vya kujifunza kuandika na kusoma.
Vitabu vya Watoto vilivyotolewa na PBZ kwa ajili ya Wanafunzi wa Skuliza za Madrasa za maandalizi



Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>