Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein, wakisalimiana na Viongozi wa Serikali ya India wakati wa hafla ya chakula cha usiku jana kilichoandaliwa na Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali
Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari, wakisalimiana na ujumbe wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,alipowatambulisha jana wakati wa chakula cha usiku katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi katika ziara ya Kiserikali Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,(kulia) wakiwa picha ya pamoja na Makamo wa Rais wa India Mohammed Ansari na Mkewe Salma Ansari,walipoalikwa chakula cha usiku jana katika ukumbi wa Hayderabad House, Mjini New Delhi akiwa katika ziara ya Kiserikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri Ghulam Nabi Azad, alipowasili katika hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na ujumbe wake wakizungumza na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii wa India Shri Ghulam Nabi Azad,na Viongozi aliofuatana nao walipofika katika hoteli ya Oberoi Mjini New Delhi alipofikia Rais na Ujumbe wake wakiwa katika ziara ya kiserikali Nchini India