Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Kutoka Baraza la Wawakilishi Ukhairishaji wa Kikao hadi Mei 2014

$
0
0
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Mhe. Pandu Ameir Kificho, akitowa taarifa ya Kikao wakati wa kuaza kwa kikao cha jioni kwa ajili ya kuahirisha Baraza hadi mwezi wa Mei 2014, kwa kusomwa Hutuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi. 
Mkuu wa Shughuli za Serekali Baraza la Wawakilishi Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akitowa hutuba ya uhairishaji wa Baraza la 8,Mkutano wa 15, Kikao cha 11, cha Baraza la Wawakilishi baada ya Kuwasilishwa kwa Ripoti za Kamati za Baraza na kuchagiwa na Wajumbe wa Baraza hilo.ufungaji huo umefanyika jioni  
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakifuatilia Hutuba ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar akihutubia wakati wa ufungaji wa Mkutano wa Baraza jana jioni.
Watendaji wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Uhairishaji wa Mkutano wa Baraza la Wawakilishi,
Wajumbe wa Baraza wakimsikiliza Makamo wa Pili wa Rais akihutubia katika uhairishaji wa Baraza jana.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Mohammed Aboud, akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serekali Mhe. Othman Masoud, wakiwa katika ukumbi wa Baraza wakati wa uhairishwaji wa mkutano huo.
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akitoka ukumbi wa mkutano akiongozwa na Askari wa Baraza akiwa na Siwa la Baraza, baada ya kuahirishwa kwa Baraza hadi mwezi wa Mei 2014. 
Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Pandu Ameir Kifichona Wasaidizi wake wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa mkutano wa Baraza hadi mwezi wa Mei 2014.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, na Waziri wa Nchi Ofisi Rais Dkt. Mwinyihaji Makame wakitoka ukumbi wa mkutano. wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi huo.
Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, katikati kushoto Waziri wa Afya Mhe. Juma Duni na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Dkt. Mwinyihaji Mamake.wakizungumza nje ya ukumbi wa baraza baada ya kuahirishwa.
Mwanasheria Mkuu wa Serekali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe Othman Masoud na Mwakilishi wa Kiembesamaki Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo wakitoka nje ya ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa kikao hicho hadi mwezi wa Mei 2014, wakati wa Kikao cha Bejeti  
Mwakilishi wa Mwanakwerekwe Zanzibar Mhe. Shamsi Vuai Nahodha na Mwakilishi wa Uzini Mhe. Mohammed Raza, wakibadilishana mawazo wakiwa nje ya ukumbi wa Baraza baada ya kuahirishwa hadi mwezi wa Mei, 2014


Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>