RATIBA YA SEMINA KUHUSU RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,
JUMAPILI TAREHE 09 FEBRUARI 2014,
UKUMBI WA TAASISI YA KISWAHILI NA LUGHA ZA KIGENI, VUGA
03.00 Asubuhi - Kuwasili kwa Waalikwa na kujisajili
03.30 Asubuhi - Kuwasili kwa Mwenyekiti wa Semina, Bibi Mariam M. Hamdani
03.30 Asubuhi - Kuwasili kwa Mgeni Rasmi – Jaji Mshibe Ali Bakari
03.10 Asubuhi - MC atasoma Ratiba ya Semina kwa taarifa ya waalikwa wote
03.20 Asubuhi - Kuwasilishwa mada ya kwanza: “Rasimu ya Katiba: Faida na Changamoto zake” na Humphrey Polepole, Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
03.50 Asubuhi - Ufafanuzi wa Rasimu ya Katiba na Awadh Ali Said na Bi Salama Kombo Ahmed, Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;
04.10 Asubuhi - Kuwasilishwa mada ya pili: “Ushirikiano wa Kimataifa” na Mwatum Malale, Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;
04.20 Asubuhi - Ufafanuzi wa Ushirikiano wa Kimataifa na Muhammad Yussuf na Ally Saleh, Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba;
04.40 Asubuhi Majadiliano
06.40 Mchana Mapumziko Mafupi
07.00 Mchana Majadiliano
07.50 Mchana Usomaji wa Azimio la Semina
08.00 Mchana Kufungwa Rasmi kwa Semina na Mwenyekiti
P.O. Box 4523, Zanzibar, Tanzania; Tel: 0777 707820 Cellular; Tel: 0242 223 8474 Office; Fax: 0242 223 8475; Email: zirpp@googlegroups.com;
Weblog: www.zirppo.wordpress.com
Website: www.zirpp.org