Wanafunzi wa kikundi cha sanaa cha Shule ya Msingi Matopeni Unguja, wakiimba nyimbo ya kuhimiza vijana kuacha dawa za kulevya, baada ya IGP Saidi Mwema kufanya uzinduzi wa upanuzi wa zahanati ya Polisi, Ziwani, Visiwani Zanzibar jana. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akipokea zawadi ya mfano wa mashua kutoka kwa mwakilishi wa kikundi cha ulinzi shirikishi cha shehia ya Stone Town, Saidi Mkweche wakati wa sherehe za uzinduzi wa upanuzi wa zahanati ya Polisi, Ziwani Visiwani Zanzibar jana. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi

HapsaOmar (kulia) na Habiba Nassor wa kikundi cha Kung Fu cha Shehia ya Nyerere wakifanya onyesho la kung fu jana Visiwani Zanzibar baada ya IGP Saidi Mwema kufanya uzinduzi wa upanuzi wa zahanati ya Polisi, Ziwani Visiwani Zanzibar jana. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi