Katibu wa Tume ya Mipango Zanzibar Mhe. Amina Khamis, akifungua kikao cha pamoja cha Tume hizombili katika mkutano huo uliowajumuisha Wakurugenzi wa Wizara za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Wadau wa Asasi za Kiraia, kuzungumzia mipango ya Utekelezaji wa Mipango ya Millenium, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani
Baadhi ya Washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza mtoa Mada akiwasilisha mada yake katika mkutano huo wa pamoja kati ya Tume ya Mipango ya Zanzibar na Tanzania Bara,
Enginia Mgalula akizunguma katika mkutano huo, wa Wakurugenzi wa Sera Mipango na Utafii wa Wizara za Serekali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wa Asasi za Kiraia, kuhusiana na kupitia Ripoti na kujadili ya Tanzania yenye mwelekeo wa kuwa na ajenda moja baada ya utekelezaji wa malengo ya maendeleo baada ya mwaka 2015.
Muwezeshaji Balozi Celestine Mushy, akitoowa Mada katika mkutano wa pamoja wa Tume ya Mipango ya Zanzibar na ya Tanzania , katika kutekeleza Malengo ya Millennium, iliowashirikisha Wakurugenzi Mipangona Sera, uliofanyika katika ukumbi wa hateli ya bwawani Zanzibar
Baadhi ya washiriki wakipitia ripoti ya malengo ya maendeleo ya millennium.Watengaji wa Tume ya Mipango Tanzania wakifuatilia Mada ikiwasilishwa katika mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.
Mdau kutoka Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar akichangia katika Mkutano huo wa Utekelezaji wa Malengo ya Tafiti za maendeleo kwa Jamii katika sekta mbalimbali za Uchumi Zanzibar. Ushirikishaji wa Wafanyabiashara.
Mdau kutoka Wizara ya Fedha Zanzibar akichangia katika mkutano huo Utekelezaji wa Malengo.Mdau kutoka Sekta ya habari akichangia katika mkutano huo jinsi ya wananchi kuhusiana na upatikanaji wa habari na utowaji wa habari zao katika maeneo ya Vijijini ili kuwafikia walengwa.
Mdau kutoka Wizara ya Biashara Viwanda Masoko Zanzibar akichangia katika mkutano huo MUWEZESHAJI Balozi Celestine Mushy, akijibu michango uliowasilishwa katika mkutano huo , wa Wadau wa Tafiti na Mipango, wakati wa mkutano huo wa pamoja wa Idara mbili za Tume za Mipango ya Zanzibar na Tanzania Bara .Mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa hoteli ya bwawani Zanzibar.