Wanafunzi wa moja ya skuli katika mji wa Unguja wakibanda basi la skuli kwa kupitia dirishani ili kuwahi nafasi ya kukaa katika basi hilo linalowaridisha majumbani baada yamasomo yao, yaasubuhi.
Utoto bwana kazi kesho mtoto huyu ukimwambia alikuwa akifanya utundu na kupenya dirishaji wakati akiwania kiti katika basi la skuli.