WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya ‘Star’ iliopo Kichungwani mjini Chakechake, wakipamba kwa nyimbo kwenye sherehe za siku ya wazazi, zilizoambatana na mahafali yao ya tano, yaliofanyika uwanja Tenis Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba )
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya ‘Star’ iliopo Kichungwani mjini Chakechake, wakitoa ujumbe wa umuhimu wa elimu kwa matazo wa dini ya kiislamu, kwenye sherehe za siku ya wazazi, zilizoambatana na mahafali yao ya tano, yaliofanyika uwanja Tenis Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba )
WANAFUNZI wa skuli ya maandalizi ya Kichungwani Chakechake, wakipimana ubavu kwa kuvutana kamba kwenye sherehe za siku ya wazazi, zilizofanyika uwanja Tenis (picha na Haji Nassor, Pemba )
MSHIRIKA wa kielimu wa skuli ya ‘Star’ kutoka Asasi ya ‘SISI PAMOJA’ ya Ujerumani Helen Paul, akizungumza kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa Tenis mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba )
MWALIMU Mkuu wa skuli ya ‘Star nursery’ ya mjini Chakechake, Moza Said Salim, akizungumza na wazazi na wanafunzi kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa Tenis Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba )
AFISA Mipango Afisi ya mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba Matar Zahor Massoud, akimakabidhi mmoja wa wanafunzi aliefanya vizuri katika masomo yake ya darasani kwenye sherehe za siku ya wazazi zilizofanyika uwanja wa Tenis chake chake (picha na Haji Nassor, Pemba )
MWALIMU mkuu wa skuli ya maandalizi ya ‘Star’ ya Kichungwani mjini Chakechake Moza Said Salim, akimkabidhi mwanafunzi wake ambae ni mshindi wa mchezo wa kuokota mbatata, kwenye sherehe za siku za wazazi zilizofanyika uwanja wa Tenis mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba )