Mkuu wa Kituo cha Afya cha Bwagamoyo Mtambwe Pemba,Asha Juma Khamis,akipokea cheti cha utunzaji bora wa madawa katika kituo chake kutoka kwa Mfamasia mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Habibu Ali Sharif
huko katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Wete-Pemba.
Mkuu wa Kituo cha Afya cha Bogowa Mkanyageni Pemba,Ali Hamran ,akipokea cheti cha Utunzaji bora wa madawa kutoka kwa Mfamasia mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Habibu Ali Sharif , huko katika
Mfamasia mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar , Habibu Ali Sharif, akizungumza na Watendaji wa baadhi ya Vituo vya afya Pemba, katika hafla ya kuwazawadia vyeti kwa utunzaji bora wa Madawa katika Vituo
vyao.( Picha na Habiba Zarali - Pemba.