Quantcast
Channel: ZanziNews
Browsing all 35922 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zantel Yazindua Kifurushi Maalumu Kwa Watalii Zanzibar.

Zantel kwa mara ya kwanza imezindua huduma ya laini ya simcard ya kwanza nchini maalum kwa watalii ambayo itakuwa na vifurushi vya muda wa maongezi vya kimataifa, kitaifa na bando maalum ya data...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ufungaji wa Mafunzo ya Udhibiti Usambaaji wa Mafuta Baharini Wafanyika Zanzibar.

Naibu Katibu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Shomari O,Shomari kulia akitoa hotuba ya ufunguaji wa  mafunzo ya  Udhibiti  Usambaaji wa mafuta yaliomwagika Baharini yaliochukua muda wa siku...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Raia Kutoka Nchini Congo Zaidi ya 800 Wakiwasili Kigoma Kuhofia Amani.

Na. Gabriel Ng’honoliAfisa HabariOfisi ya Mkuu wa Mkoa KigomaTakribani raia 800 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, wamekimbilia Nchini Tanzania kuomba hifadhi ya ukimbizi katika kijiji cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

10 Years Anniversary of Bank of Africa -Tanzania.

The guest of honor; Honorable Charles Mwijage, Minister of Industries, Trade and Investment giving out the speech at the Bank’s 10 years’ anniversary event, yesterday at Serena Hotel.CEO and Managing...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA ASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA...

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (Mstaafu), akikagua gwaride la heshima wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ),...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR HEROES UTAIPENDA TU, YASHINDA 5-2

Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) leo kwa mara ya kwanza mwaka huu imefanikiwa kupata ushindi baada ya kuifunga Villa United (Mpira Pesa) mabao 5-2, kwenye mchezo wa kirafiki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Kuwapatia Matibabu Bure Wazee wa Wilaya ya Handeni

Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Godwin Gondwe amewahamasisha wazee kuanzia umri wa miaka 60 na kuendelea kujitokeza kwenye zoezi la upigwaji picha ili waweze kupatiwa kadi za bima ya afya zitakazowawezesha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Magazetini leo Tz 24/11/2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,...

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Rotlan Paradede, alipofika Ikulu ya Zanzibar leo kwa mazungumzo....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kongamano la Wasomi Wanataaluma Kufanyika Kesho Hotel ya Land Mark Ubungo...

Mratibu wa Kongamamo la Wasomi Wanataaluma wa Kikristo liitwalo Tanzania for Jesus Prayer Movement ambalo mlezi wake ni Huduma ya I Go Africa for Jesus,  Ephrahim Mwambapa akizungumza katika mkutano na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchezo wa Kirafiki wa Timu ya Taifa ya Zanzibar Heroes na Villa United Uwanja...

Mshambuliaji wa Timu ya Zanzibar Heroes Mohammed Othman akimpita beki wa Timu ya Villa United Fadhil Silim wakati wa mchezo wao wa tatu wa kirafiki uliofanyika uwanja wa Timu ya Heroes imeshinda bao 5...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar Dk Shein Azungumza na Balozi wa Oman na Indonesia Ikulu...

STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar                                                                                                             24.11.2017SERIKALI ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfamasia Mkuu wa Serikali Pemba Awataka Wahitumu Kuyatumia Mafunzo Waliopata...

Mkuu wa Kituo cha Afya cha Bwagamoyo Mtambwe Pemba,Asha Juma Khamis,akipokea cheti cha utunzaji bora wa madawa katika kituo chake kutoka kwa Mfamasia mkuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Habibu Ali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuu wa Wilaya ya Chake Ajitambulisha Kwa Wananchi wa Shehia ya Vitongoji...

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Rashid Hadidi Rashid, akizungumza na Wananchi wa Shehia ya Vitongoji Pemba, ikiwa ni muendelezo wa kujitambulisha kwa wananchi na kusikiliza kero mbali mbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jumia Yatangaza Kuanza Rasmin Kwa Kampeni ya ‘BLACK FRIDAY’ Nchini Tanzania.

Meneja Mauzo Jumia Tanzania, Iddy Mkumba, akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu kuanza rasmi kwa kampeni ya 'Black Friday hapa nchini inayoendeshwa na Jumia. Kushoto Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mfanyabiashara Kutoka Nchini Isreal Aipiga Tafu Timu ya Zanzibar Heroes Kwa...

Mfanyabiashara kutoa Nchini Isreal Lior Shabat akimkabidhi fedha Nahodha wa Timu ya Zanzibar Heroes Suleiman Kassim Selembe dola 600 kwa ajili ya wacheza wa Timu hiyo bbada ya kuwaahidi kila mchezaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe.Mwanjelwa Afanya Mkutano na Wahariri Ili Kuongoza...

Mgeni Rasmi-Naibu waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini kwenye Mkutano uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahafali ya 12 ya Chuo Cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Kivukoni Jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Wanamkikita Nchini Thailand.

Wajumbe kutoka Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita/Living Green) wakiwa na furaha baada ya kulakiwa na wenyeji wao walipowasili hivi karibuni  katika Jiji la Bangkok, Thailand tayari kwa ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAMWA Waanza Maadhimisho ya Siku 16 Kupinga Ukatili wa Kijinsia

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Bi. Edda Sanga akizungumza leo na wanahabari akutoa kauli ya maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia kwa chama...

View Article
Browsing all 35922 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>