Mgeni Rasmin Mahafali ya 12 Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalim Nyerere Mkurugenzi...
Mkurugenzi Idara ya Elimu mbadala na watu wazima Zanzibar Bi Mashavu Ahmada Fakih amewataka wahitimu wa chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kujiandaa kisaikolojia na kutumia stadi walizozipata...
View ArticleBalozi Mpya wa Oman Nchini Tanzania akutana na Makamu wa Pili wa Rais ,...
 Balozi Mpya wa Oman Nchini Tanzania Bwana Ali Abdulla – Al Mahrouq  wa kwanza kutoka Kushoto  aliyefika Zanzibar kujitambulisha rasmi wakati akizungumza na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi...
View ArticleSUZA and ZUMC forge academic partnership
 The photos depicting Memorandum of Understanding signing event. Acting Vice Chancellor and Deputy Vice Chancellor for Academics, Research and Consultancy.Dr. Haji Mwevura, exchanging MOU with ZUMC...
View ArticleRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Avamia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa...
View ArticleTimu ya Afisi Kuu ya CCM Yaibuka Bingwa wa Kombe la Majimbo Zanzibar Kwa...
Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa akimkabidhoi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Majimbo Nahodha wa Timu ya Afisi Kuu ya CCM Zanzibar Vuai Makame kwa timu yao kuibuka...
View ArticleNafasi za Kazi Wizara ya Afya
NAFASI ZA KAZI WIZARA YA AFYA ZANZIBARTume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Wizara Afya – Unguja na Pemba kama ifuatavyo:-1.AFISA MAABARA DARAJA LA II - Nafasi moja (1)...
View ArticleKocha Morocco amuongeza Emanuel Martin Zanzibar Heroes
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes), Hemed Suleiman (Morocco) amemuongeza kwenye kikosi kiungo Mshambuliaji wa timu ya Yanga Emanuel...
View ArticleMeli ya Kitalii yawasili Bandarini Zenj
Meli ya Kitalii ikiwa imefunga gati katika Bandari ya Malindi Zanzibar
View ArticleRatiba ya ziara za MKuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi kusikiliza kero za wananchi
*RATIBA HII YA AWAMU YA KWANZA ITAGUSIA WILAYA YA MAGHARIBI "B" TU**______________________________**UWANJA WA MPIRA DIMANI*SAA: 9:00 JIONITarehe 27/11/2017*KUNDI A*...
View ArticleSiku ya wazaza skuli ya Maandalizi ya Star yafana Kichungwani Pemba
 WANAFUNZI wa mwaka wa kwanza na wa mwaka wa pil,i wa skuli ya Maandalizi ya Star iliopo Kichungwani wilaya ya Chakechake Pemba, wakifuatilia hafla ya siku ya wazazi, iliofanyika uwanja wa Tenis,...
View ArticleAmour Pwina aibeba Zanzibar Heroes
Na Abubakar Khatib Kisandu, Zanzibar.Timu ya Taifa ya Soka ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) imeendelea kucheza michezo ya kirafiki ambapo leo imefanikiwa kupata ushindi wa mabao 2-0 baada ya kuifunga timu...
View ArticleRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Atembelea...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya...
View ArticleKamati BLW yaikagua ujenzi wa jengo litakalokuwa na Wizara tatu Gombani Pemba
 AFISA Mdhamini Wizara ya Fedha na Mipango Pemba,Ibrahim Saleh Juma akitoa maelezo ya ujenzi wa jengo la Wizara tatu huko Gombani, kwa Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Fedha, Biashara na Kilimo ya Baraza...
View ArticleDKT. MWAKYEMBE AIPONGEZA PSPF KWA KUTWAA TUZO YA KIMATAIFA YA ISSA GOOD...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mheshimiwa Dkt. Harrison Mwakyembe, (kulia), na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Bw. Adam Mayingu, wakiwaonyesha waandishi wa habari, tuzo...
View ArticleUzinduzi wa Michuano ya Kombe la Muungano Mchezo wa Netiboli Yafanyika...
Mgeni rasmin ufunguzi wa Michuano ya Klabingwa Kombe la Muungano Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja Mhe. Marine Thomas akiwa na Viongozi wa Chaneza na Chaneta wakiwa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari...
View ArticleMakamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameongoza kikao kilichuhudhuriwa na Mawaziri kutoka Serikali ya Muungano na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi...
View ArticleHow 4G Internet Expand In Tanzania.
For years development has brought us better lives through easing the way we live and work. Little over 20 years ago, Tanzanians could not have imagined that travelling from one corner of Tanzania to...
View Article