Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, nje ya Ukumbi wa bungeMjini Dodoma,kushoto kwake ni Bw. Mohamed Mbwana, katikati ni Rufai said Rufai na Kulia kwa Mwenyekiti ni Bw. Heri Khatibu.
Mjumbe wa Bunge la Katiba na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Hawa Ghasia akitoa mapendekezo juu ya taratibu za kupiga kura katika kufanya marekesho ya kanuni zitakazotumika katika Bunge Maalum la Katiba, wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zaitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba katika ukumbi wa Bunge (katikati) Waziri wa Fedha Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Saada Salum Mkuya na Makamu wa Pili wa Rais, Zanzibar Balozi Seif Ali.Iddi. Wakati wa Semina ya Kujadili kanuni zitakazoongoza Bunge Maalum la Katiba. leo Mjini Dodoma.