Ajali Michezani Kisonge
WANANCHI wakiangalia gari yenye usajili Z 564 DE, ikiwa imegongwa kwa nyuma na daladala ya njia ya Maungani yenye namba za usajili Z663 CH, ajali hiyo imetokea jirani na maskani ya kisonge, katika...
View ArticleHarakati Marikiti Kuuya Samaki Darajani
Wananchi wakiwa katika katika harakati za kupata mahitaji ya Utowezi katika marikiti kuu ya samaki darajani,kipindi hichi samaki wamekuwa ni wa sida kutokana na hali ya upepo baharini na kufanya bei...
View ArticleMajambazi yaua polisi, yajeruhi
Na Kauthar AbdallaASKARI Polisi E5607 Koplo Mohammed Mjombo (44), ameuawa na mwengine kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi na majambazi katika tukio la uporaji lililotokea hoteli ya PongweBayResort...
View ArticleJaji Mkuu awaonya mahakimu · Asema jamii haiwaamini
Na Khamis AmaniJAJI Mkuu wa Zanzibar, Omar Othman Makungu, amewataka majaji, mahakimu na makadhi, kujirekebisha katika utendaji wao wa kazi ili jamii iweze kuwaamini.Alisema utendaji dhaifu uliopo kwa...
View ArticleRIDHIWANI ASHINDA KURA ZA MAONI CCM KUWANIA KITI CHA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE
Matokeo:Ridhiwani Kikwete kashinda kwa kupata kura 758 kati ya kura 1321,Ilikuwa hivi:_1.Ridhiwani Kikwete kura 7582.Shaban Iman Madega kura 3353.Athuman Ramadhan Maneno kura 2064.Changwa Mohamed...
View ArticleKutoka Bunge la Maalum la Katiba Dodoma.
Mwenyekiti wa Muda wa Bunge Maalum la Katiba Mhe. Pandu Ameir Kificho akizungumza na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, nje ya Ukumbi wa bungeMjini Dodoma,kushoto kwake ni Bw. Mohamed Mbwana, katikati...
View ArticleMwanafunzi Bora wa Aliyeongoza Matokeo yaMtihani wa Kidatu cha Nne mwaka...
Tovuti ya Times Fm imefanya mahojiano ‘exclusively’ na Robina Nicholaus, msichana aliyeshika nafasi ya kwanza/ aliyeongoza kitaifa (Tanzania One) kwenye matokeo ya mtihani wa kidato cha nne mwaka...
View ArticleTatizo la ajira kwa watoto : Badala ya kwenda Skuli, wakutwa wakibanja kokoto
UTAFUTAJI wa kokoto wa aina hii kwenye mashimo, umekuwa ukitajwa mara kwa mara kusababisha vifo kwa wananchi wa Micheweni. Pichani mtoto akiokota kokota kwenye mashimo jambo ambalo linaweza...
View ArticleTahadhari ya mvua kubwa
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA UCHUKUZI MAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIA Simu: 255 22 2460735/2460706 FAKSI: 255 22 2460735/2460700 S.L.P. 3056 Barua pepe: met@meteo.go.tz DAR ES SALAAM...
View Article‘Yosso’ bingwa mwakilishi ‘cup’ Chakechake
NAHODHA wa timu ya Mkungu malofa Mussa Ali Mbarouk, akipokea kikombe cha ushindi wa michuano ya mwakilishi wa Jimbo la Chakechake, baada ya kuilaza timu ya Jagwakwa magoli 2-1, kutoka kwa Mohamed Juma...
View ArticlePBZ Islamic Yatowa semina kwa Mashekh na Wafanyabiashara kuhusiana na Benk za...
Shekh.Ali Sharif Maalim akisoma Quran kabla ya Ufunguzi wa Semina hiyo ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.Dkt. Ziddy akifungua semina ya...
View ArticleMambo ya Kumbukumbu hayooo
Mtalii kutoka nchini Japan akipata picha ya kumbukumbu katika mmoja ya mtaa wa mji mkongwe wa Unguja wakati akiwa katika matembezi yake katika mitaa ya Gizenga. Kumbukumbu ni muhimu wakati ukiwa katika...
View ArticleMdau mambo Mji Mkongwe
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika mtaa wa mkunazini Unguja Wananchi wenye hasira ilibidi kuchukuwa hatua kusambaratisha vipolo vya kokoto katika eneo hilo baada ya kulalamika kwa muda mrefu kwa muhusika wa...
View ArticleMambo ya Mapumziko hayooo.........
Mambo ya mapumziko hayo, kama anavyoonekana Paka huyu akiwa katika mapumziko yake katika moja ya jaa la taka maeneo ya Muembetanga akijipumzisha bila ya kujali mazingira ya eneo hilo alilopumzikia...
View ArticleMama Ajifungua Watoto Mapacha Watatu Mjini Arusha.
Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC), Elishilia Kaaya akiwa amebeba watoto watatu mapacha Catherine, Caroline na Cathrine ambao walizaliwa mwanzoni mwa wiki hii...
View ArticleJob Vacancy : Advisor on business process analysis and design
As an international cooperation enterprise for sustainable development with worldwide operations, the federally owned Deutsche Gesellschaft für Internationale Zusammenarbeit (GIZ) GmbH supports the...
View ArticleWizara ya Kilimo na Maliasili yakabidhiwa Matrekta
Baadhi ya Matrekta yalitolewa na KAMPUNI YA SUMA JKT yalipokabidhiwa kwa Wizara ya Kilimo na Maliasili Kanal Mohammed Abdallah Rex akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa wizara ya Kilimo na...
View ArticleWaziri Samiha Azungumzia Mafanikio y Elimu ya Juu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais Masuala ya Muungano, Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Mwandishi wa Habari wa Idara ya Habari(MAELEZO). Jovina Bujulu leo Mjini Dodoma.Na Jovina Bujulu-...
View Article