Hivi ndivyo ilivyokuwa katika mtaa wa mkunazini Unguja Wananchi wenye hasira ilibidi kuchukuwa hatua kusambaratisha vipolo vya kokoto katika eneo hilo baada ya kulalamika kwa muda mrefu kwa muhusika wa ujenzi kushusha bidhaa hizo hapo katika eneo hilo huwa kero kwao kwa mavumbi kuingia ndani ya majumba yao na kuziba njia hiyo kwa wapita njia.Kama inavyoonekana pichani wananchi wakipita pembeni yake.
↧