$ 0 0 Mtalii kutoka nchini Japan akipata picha ya kumbukumbu katika mmoja ya mtaa wa mji mkongwe wa Unguja wakati akiwa katika matembezi yake katika mitaa ya Gizenga. Kumbukumbu ni muhimu wakati ukiwa katika matembezi katika Nchi za watu .