Mambo ya mapumziko hayo, kama anavyoonekana Paka huyu akiwa katika mapumziko yake katika moja ya jaa la taka maeneo ya Muembetanga akijipumzisha bila ya kujali mazingira ya eneo hilo alilopumzikia madhara yake.
Ukiwa katika hali kama hii hupumzika mahali popote pale bila ya kujali mazingira yake.