Shekh.Ali Sharif Maalim akisoma Quran kabla ya Ufunguzi wa Semina hiyo ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.
Dkt. Ziddy akifungua semina ya siku moja ya kuzungumzia Bank za Kiislam, ilioandaliwa na PBZ Islamic,na kuwashirikisha Mashekh na Wafanyabiashara wa Zanzibar kuhusiana na riba, semina hiyo imefanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi.
Mkurugenzi Huduma Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg Said Mohammed, akitowa maelezo kabla ya kuaza kwa semina hiyo iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi Zanzibar.
Mkurugenzi Mtendaji wa PBZ, akifuatilia maelekezo yakitolewa katika semina hiyo akiwa na Maofisa wa PBZ na Viongozi wengine.
Profesa Monzer Kahf, akiwasilisha Mada yake kuhusiana na Islamic Bank is Alterative of Convention Bank, wakati wa semina hiyo ya siku moja ilioandaliwa na PBZ Islamic Bank, iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace malindi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Watu wa Zanzibar Ndg. Juma Amour, akitowa ufafanuzi katika semina hiyo ya inayozungumzia Benki ya Kiislam ni Suluhusho kwa Benki za Kawaida Zinazotowa Riba, semina hiyo imeandaliwa na PBZ Islamic Bank na kuwashirikisha Mashekh na Wafanyabiashara wa Zanzibar.
Mwanasheria wa PBZ Islamic Shekh Abdull Malelemba, akifafanua kuhusiana na uendeshaji wa Bank za Kiislam, wakati wa semina hiyo iliandaliwa na PBZ Islamic, katika ukumbi wa hoteli ya Grand Palace Malindi.
Washiriki wakimsikiliza Profesa Monzer Kahf, akitowa mada kuhusiana na Islamic Bank is Alternativeof Convention Bank.
Viongozi wa meza kuu wakifuatilia michango namaswali iliowasilishwa na washiriki wa semina hiyo.Washiriki wakifuatilia Mada kutoka kwa Profesa Monzer Kahf.alipokuwa akiwasilisha katika semina hiyo
Mshiriki wa semina hiyo akiuliza swali kuhusiana na kuchukuwa mkopo na kurudisha faida ya juu aliopata katika biashara yake aliofanya kutokana na mkopo huo.
Shekh akitowa ufafanuzi kutokana na riba katika biashara wakati wa semina hiyo .Profesa Monzer Kahf, akijibu maswali yalioulizwa na washiriki wa semina hiyo, iliofanyika katika ukumbi wa grand palace malindi Zanzibar.
Washiriki wa Semina ya Siku moja kuhusiana na Islamic Benki, ilioandaliwa na PBZ Islamic bank Zanzibar iliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Grand Palace Malindi, na kuwashirikisha Mashekh na Wafanyabiashara wa Zanzibar.