Wananchi wakiwa katika katika harakati za kupata mahitaji ya Utowezi katika marikiti kuu ya samaki darajani,kipindi hichi samaki wamekuwa ni wa sida kutokana na hali ya upepo baharini na kufanya bei yake kuwa juu hadi kuuzwa kipande saizi ya slesi kwa shilingi 2000/= kwa samaki wa aina ya jodari na nguru.
Mambo ya nyama nayo bei yake iko juu kwa kilo moja huuzwa shilingi 9000/= kwa kilo moja katika marikiti hiyo