$ 0 0 WANAUSHIRIKA wa kilimo cha chumvi kilichopo Chambani wilaya ya mkoani Pemba, wakifanya usafi kwenye mabwawa yao (mabirika) ya kuzalishia chumvi, mara baada ya kuvuna hivi karibuni (picha na Haji Nassor, Pemba)