CCM YAMTEUA NDG. RIDHIWANI KIKWETE KUWA MGOMBEA WA UBUNGE KWENYE UCHAGUZI...
DODOMA,TanzaniaKamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa imemteua Kada wa CCM, Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea wake wa Ubunge katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze kuziba nafasi iliyoachwa wazi na...
View ArticleLori la kusombea Taka Lapaki katika kituo cha daladala kwa siku mbili sasa...
Lori la kubeba taka likiwa eneo kituo cha gereji barabara ya mandela ,huku likiwa limebeba uchafu baada ya kuharibika na limekaa hapo siku mbili.Abiria wanaotumia kituo cha gereji barabara ya mandela...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Grand Malt kati ya Malindi na Mafunzotimu hizo zimetoka...
Muamuzi wa akiba Bi. Mwahija akiingia uwanja baada ya kuwatowa wachezaji katika vyumba vya mapumziko ya kipindi cha kwanza wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt Malindi na Mafunzo timu...
View ArticleHatimaye Wazazi wa mtoto Adorotea Njavike mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi...
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. TUNAOMBA SANA MSAADA WENU MTOTO ATIBIWE KWANI ANATESEKA SANA MTOTO HUYUAfisa...
View ArticleWanakamati wa Tumaini jipya katika mafunzo ya kuandaa mipango na mikakati Pemba
MTAALAMU wa kuandaa mpango mkakati kutoka ‘the foundation for civil society’ ya Dar-es Salaam nd: Salma Nassibu, akiwapa darsa wanakamati tendaji na wanajumuia ya ‘Tuamaini jipya’ ya Pemba, kwenye...
View ArticleGati la Wete Pemba likiwajibika
WANANCHI na wafanyabiashara wa mji wa Wete Pemba, sasa wako katika furaha, baada ya shirika la bandari la Zanzibar, kuimarisha gati kwenye bandari ya mji huo, pichani makuli wakipakua mizigo kwenye...
View ArticleMabwawa ya Chumvi yakifanyiwa usafi
WANAUSHIRIKA wa kilimo cha chumvi kilichopo Chambani wilaya ya mkoani Pemba, wakifanya usafi kwenye mabwawa yao (mabirika) ya kuzalishia chumvi, mara baada ya kuvuna hivi karibuni (picha na Haji...
View ArticleMnazimmoja yaelemewa na wajawazito
Na Khamisuu AbdallaKUWEPO idadi kubwa ya wazazi wanaozalia wodini katika hospitali kuu ya Mnazimmoja, linatokana na ongezeko la wajawazito katika hospitali hiyo.Muuguzi dhamana wa wodi ya wazazi wa...
View ArticleWatanzania waaswa kujihadhari na ugonjwa wa figo
Na Lorietha Laurence, MAELEZOWAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Seif Rashid, amesema asilimia 1.03 ya vifo hutokana na ugonjwa wa figo.Alisema hayo wakati akitoa tamko kwa waandishi wa habari...
View ArticlePolisi yawasaka waliohusika miripuko ya mabomu, mauaji ya polisi
Na Mwandishi Wetu.JESHI la Polisi Zanzibar linaendelea kuwasaka watu waliohusika katika miripuko ya mabomu yaliyotokea hivi karibuni pamoja na majambazi yaliyomuua askari polisi Koplo, Mohammed...
View ArticleAmuua mkewe kwa wivu
Na Mariam Kamgisha, MorogoroMWANAMKE mmoja Juliana Wambura (24) mkazi wa kijiji cha Ruaha, ameuawa kwa kuchomwa kisu tumboni na mumewe.Akizungumzia tukio hilo,Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,...
View ArticleSERIKALI wa Japan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 14, kusaidia miradi ya...
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg. Khamis Mussa, akitiliana saini na Mwakilishi wa JICA Tanzania Ndg. Yasunori Onishi, ya ujenzi wa Soko la Samaki malindi,utilianaji wa saini huo umefanyika...
View ArticleBasi la Hood laua, lajeruhi
Na Kija Elias, MWANGAMTU mmoja amefariki dunia huku wengine 16, wakijeruhiwa vibaya, baada ya basi la kampuni ya Hood lenye namba za usajili T.488 AXV aiana ya Scania kupata ajali mbaya, majira ya...
View ArticleKanisa lawaonya wake wa Wachungaji
Na Joseph Ngilisho,ARUSHAKANISA la Kiinjili la Kilutheli Tanzania (KKKT), limewaonya wake wa watumishi wa kanisa hilo kuacha kuvaa nguo za kubana na zinazoacha wazi sehemu kubwa ya miili yao kwa sababu...
View Article