Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

SERIKALI wa Japan imetoa zaidi ya shilingi bilioni 14, kusaidia miradi ya ujenzi wa soko na bandari ndogo katika eneo la Malindi mjini Zanzibar.

$
0
0
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg. Khamis Mussa, akitiliana saini na Mwakilishi wa JICA Tanzania Ndg. Yasunori Onishi, ya ujenzi wa Soko la Samaki malindi,utilianaji wa saini huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo Maruhubi Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Ndg. Khamis Mussa, akibadilishana nyaraka za makubaliano na Mwakilishi wa JICA Tanzania Ndg. Yasunori Onishi, ya ujenzi wa Soko la Samaki malindi,utilianaji wa saini huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo Maruhubi Zanzibar. 
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar Khamis Mussa akizungumza katika hafla hiyo ya Utilianaji wa saini ya Ujenzi wa Soko la Samaki na Bandari, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo Maruhubi Zanzibar. 
Naibu Waziri wa Uvuvi na Migugo Mhe. Mohammed Dimwa na Katibu Mkuu Wizara ya Uvuvi na Mifugo wakifuatilia hafla hiyo ya utilianaji wa saini pande mbili kati ya Japan na Zanzibar. 
Wafanyakazi wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo, Wafanyakazi wa Shirika la Bandari na Wachuuzi wa Samaki katika Soko la Malindi wakihudhuria sherehe hiyo ya utilianaji wa saini katika ukumbi wa Wizara ya Uvuvi na Mifugo maruhubi Zanzinzibar. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>