Wasanii wa Michezo ya Kuingiza Wachagua Viongozi wa Muda wa Jumuiya yao.
Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Zanzibar (BASAZA) Khadija Said Batashi akizungumza na wasanii wa sanaa ya maigizo katika mkutano uliojadili kuundwa Umoja wao katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo...
View ArticleHatima Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Apitikana Mwenyekiti wake leo...
Mhe. Samuel Sitta achaguliwa Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba.kwa Kura nyiingi.Mhe. SamuelSitta aibuka kidedea katika uchaguzi wa kuwania nafasi ya Mwenyekiti waBunge Maalum la...
View ArticlePolisi watumia risasi kuwanusuru watuhumiwa wa wizi
Na Rose Chapewa, MBEYAPOLISI Mkoani Mbeya, wamefyatua risasi kuwatawanya wananchi wenye hasira, waliokuwa wakijaribu kuwachoma moto wanawake wawili, waliowatuhumu kuwa wezi.Kamanda wa Polisi Mkoani...
View ArticleNyumba zaidi ya 50 kuvunjwa Tunguu
Na Hafsa GoloZAIDI ya nyumba 50 na misingi zilizojengwa katika kijiji cha Tunguu zinatarajiwa kuvunjwa na serikali kufuatia uvamizi uliofanywa na wananchi. Mkurugenzi Mipango Miji na Vijiji,Dk....
View ArticleJela miaka 242 kwa kubaka
Na Kadama Malunde,SHINYANGAMAHAKAMA ya hakimu mkazi wilaya ya Shinyanga mkoani Shinyanga, imewahukumu Mathias Kalonga (40) na James Moshi (35) wakazi wa Shatimba wilaya ya Shinyanga vijijini, kifungo...
View ArticlePingmizi kwa mgombea ubunge wa chadema jimbo la Chalinze
TAARIFA YA PINGAMIZI LA MGOMBEA WA UBUNGE JIMBO LA CHALINZE .FABIAN LEONARD SKAUKI – MGOMBEA CHAMA CHA WANANCHI –CUFDHIDI YAMATHAYO MANG’UNDA TORONGEY – MGOMBEA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO...
View ArticleMakatibu wetu wakiwa Marekani
Mh. Ramadhani M. Mwinyi, Naibu Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Akipata ukodak na makatibu wakuu kutoka Zanzibar. Kutoka kushoto ni Bi Mwanaidi Saleh Katibu mkuu wa...
View ArticleRAIS KIKWETE APOKEA RIPOTI YA MGAWANYIKO WA WATU KWA UMRI NA JINSI LEO IKULU,...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa ambaye pamoja na Kamishna wa Sensa Hajjat Amina Mrisho baada ya kupokea Ripoti ya Mgawanyo wa Watu...
View ArticleMkuu wa Mkoa M/Magharibi Azindua Uhamasishaji wa Afya Bora kwa Watoto Zanzibar.
Mkuu wa mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Abdalla Mwinyi akimlisha mtoto uji wenye Virutubisho kwenye sherehe ya uzinduzi wa uhamasishaji wa afya na lishe bora kwa watoto iliyofanyika...
View ArticleZoezi la Uandikishaji Vitambulisho vya Taifa Laendelea Zanzibar.
Wananchi wa Shehia ya Mchangai Unguja wakiwa katika foleni ya kujiandikisha katika viwanja vya Skuli ya Darajani, wakisubiri zao zao kuweza kujiandikisha Kitambulisho cha Taifa. Bi.Umukruthum...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Grand Maltilizikutanisha timu za Miembeni na KMKM,...
Wapenzi wa mchezo wa Soka Zenj wakifuatilia mchezo huo. Mshambuliaji wa timu ya Kmkm akimpita beki wa timu ya Miembeni.Wachezaji wa timu ya KMKM...
View ArticleTafrija ya Kuwapongeza Mhe. Samuel Sitta na Mhe Samia Suluhu.kwa Ushindi wao.
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Mh. John Samuel Sita akitoa neno la shukrani mara baada ya Tafrija fupi ya kupongezwa kwake yeye na Makamu wake Mh. Samia Suluhu hapo Chinese Restaurant Mjini...
View ArticleBREAKING NEWSS::MADEREVA WA BODA BODA NA BAJAJ WAANDAMANA MPAKA OFISI ZA...
Madereva Bajaj wakiwa nje ya ofisi za chadema makao makuu kinondoni wakipinga tamko la kuzuiwa kuingia kati kati ya mji na maeneo ya mjini. Mmoja wa Madereva Bajaj Akiongea na vyombo vya habari mda huu...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA SHEREHE ZA MIAKA 10 YA SIKU YA PAI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Maandamano ya Wanafunzi na Walimu wa Shule za Sekondari, Msingi na Vyuo Vikuu, wakati wa Sherehe za maadhimisho...
View ArticleRais Kikwete Akutana na Marais Wastaafu na Mwenyekiti wa Bunge la Katiba na...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Wastaafu Mhe Olesegun Obasanjo wa Nigeria, Festus Mogae wa Botswana, Mzee Benjamin William Mkapa, na (walioketi kulia kwa Rais) Mhe Pedro Pires Rais...
View ArticleWakaazi wa Kojani na Mpambani wahofia nyumba zao
WANANCHI zaidi ya 500 wa shehia za Kojani na Mpambani katika kisiwa cha Kojani, wilaya ya Wete Pemba, wamekuwa wakiishi kwa hofu, kutokana na nyumba zao kuingia maji ya chumvi kila msimu (bamvua) la...
View Article