Mh. Ramadhani M. Mwinyi, Naibu Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, New York. Akipata ukodak na makatibu wakuu kutoka Zanzibar. Kutoka kushoto ni Bi Mwanaidi Saleh Katibu mkuu wa Elimu na Mafunzo ya Amali, Zanzibar, na kulia ni Bi Asha Ali Abdallah Katibu Mkuu Uwezeshaji Ustawi, wa Jamii Wanawake na Watoto , Zanzibar. Hapa wakiwa ndani ya mjengo wa Ubalozi New York City.
Mh, Balozi Mwinyi na wageni hao kutoka Zanzibar walivyotembelea ndani ya jengo la Ubalozi New York City.