Moshi wa kiwanda cha makonyo, Wakaazi wa Wawi na Mgogoni wahofia afya zao
BADOwananchi wa shehia za Wawi na Mgogoni wilaya ya Chakechake, wanaendelea na kuishi kwa wasiwasi mkubwa, wa kupata athari za moshi, kutokana na uwepo wa kiwanda cha mafuta ya makonyo na ariki ya...
View ArticleZBS yazindua kamati za kitaalamu
Baadhi ya wajumbe wa Kamati za kitalaamu na Divishen za undaji wa Viwango vya Taasisi ya Viwango Zanzibar (ZBS) wakimskiliza Mkufunzi kutoka (TBS) Bw. Nickonia Mwabuka hayupo pichani alipokua akitoa...
View ArticleHoteli ya Mkoani : Naam hivyi ndivyo ilivyo
MUASISI na jemedari wa mapinduzi ya Zanzibar na rais wa kwanza wa Zanzibar, marehemu Abeid Amani Karume, kwa makusudi aliamua kujenga hoteli za serikali, ili kutanua pato la taifa, ambapo kwa sasa...
View ArticleZECO Pemba wakifunga transfoma
Mafundi kutoka shirika la Umeme Zanzibar tawi la Pemba (ZECO), wakiifunga Transfoma kwa ajili ya kuwasambazia huduma ya umeme wananchi wa Shehia za Msuka kijiji cha Dodeani, wilaya ya Micheweni Pemba,...
View ArticleMkutano wa 57 wa kamisheni ya UN inayosimamia Madawa ya kulevya
Mkutano wa 57 wa Kamisheni ya Umoja Wa Mataifa inayosimamia Dawa za Kulevya umeanza jana tarehe 13 March, 2014 katika Makao Makuu ya Kamisheni hiyo Vienna International Conference Center nchini...
View ArticleBalozi Seif Atembelea Ujenzi wa Tawi la CCM Kazole Unguja.
Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi akikagua Jengo jipya la Tawi la Chama cha Mapinduzi la Kazole kabla ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya hatua ya ukamilishaji wa Linta.nyuma ya Balozi Seif ni...
View ArticleMaalim Seif Amesifu Muamko wa Wanawake Zanzibar.
Na Khamis Haji OMKRMakamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesifu mwamko wa wanawake hapa Zanzibar katika kujiendeleza kielimu hali inayofanya idadi ya wanawake wanaohitimu...
View ArticleTanzania ina uhaba wa madaktari bingwa
Na Kija Elias, Moshi.UKOSEFU wa madaktari bingwa wa ugonjwa wa figo,imekuwa kikwazo kikubwa kwa jamii kupima afya zao hususani wananchi waishio maeneo ya vijijini.Hayo yalisemwa na daktari bibwa wa...
View ArticleAsilimia 44 ya Watanzania ni watoto
Na Mwandishi wetuIDADI kubwa ya Watanzania ni watoto wenye umri chini ya miaka 15 na vijana, utafiti wa mama na mtoto wa mwaka 2010 umebainisha.Utafiti huo unaonesha asilimia 44 ya watu wote ni...
View ArticleNchemba ataka JWTZ kuongeza ujuzi
Na Joseph Ngilisho,ARUSHANAIBU wa Waziri wa Fedha,Mwigulu Nchemba, amesema kukua kwa utandawazi kumeifanya dunia kuwa kijiji,hivyo kuna kila sababu ya kuimarisha majeshi ya ulinzi ya ndani kwa...
View ArticleGari la Katibu Mkuu Fedha lashambuliwa
Na Kauthar AbdallaVIJANA wasiojulikana wanaosadikiwa kuwa wafuasi wa kundi la ubaya ubaya, wamelishambulia kwa mawe na mapanga gari la Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Zanzibar.Hata hivyo, wakati tukio hilo...
View ArticleUAMSHO huru kesi iliyokuwa ikiwakabili Mahakama ya Mwanakwerekwe
Khamisuu Abdallah na Madina IssaMAHAKAMA ya wilaya Mwanakwerekwe imewaachia huru watu sita wanaoshukiwa kuwa ni wafuasi wa Jumuiya ya Uamsho na Mihadhara ya Kiislaam Zanzibar (JUMIKI) baada ya kuwaona...
View ArticlePolisi wabuni mikakati kukomesha ajali
Na Mohammed Mhina, DODOMAJESHO la Polisi nchini limebuni mikakati itakayosaidia kukomesha ajali za barabarani kwa kuvishirikisha vikosikazi vya polisi jamii vilivyotawanywa katika kila kata, tarafa na...
View Article‘BAKIZA iongezewe nguvu kuendeleza Kiswahili’
Na Salum Vuai, Maelezo.BARAZA la Kiswahili Zanzibar (BAKIZA), jana limeadhimisha ‘Siku ya Kiswahili Zanzibar’, huku serikali ikishauriwa kulisaidia kwa kuliwezesha kirasilimali ili litekeleze jukumu...
View ArticleMgombea CHADEMA Chalinze apingwa
Na Mwandishi wetuMGOMBEA wa CUF katika uchaguzi mdogo jimbo la Chalinze,Fabian Skauki,amemuwekea pingamizi mgombea wa Chadema,Mathayo Mang’unda Torogey akisema amepoteza sifa ya kuwa mgombea.Katika...
View Articlemama Mwanamwema Shien azindua mtandao ( Website) wa Fawe
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Fawe Zanzibar na wananchi wakimsikiliza Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein alipozungumza katika uzinduzi wa Mtandao wa Web site wa Fawe Zanzibar...
View Article