BADOwananchi wa shehia za Wawi na Mgogoni wilaya ya Chakechake, wanaendelea na kuishi kwa wasiwasi mkubwa, wa kupata athari za moshi, kutokana na uwepo wa kiwanda cha mafuta ya makonyo na ariki ya mimea, katikati ya makaazi yao kwa muda mrefu sasa (picha na Haji Nassor, Pemba)