ZOP Yatowa huduma kwa Wananchi wa Kijiji cha Donge.
Mwananchi wakijiji cha donge Bi.Miza Khamis akipata huduma ya kupima miwani wakati wa zoezi la kutowa huduma kwaWananchi wa Wilaya yacKaskazini kupima afya zao, ikiwemo huduma ya kupima macho, akisoma...
View ArticleWazee CCM wamshangaa Kificho
Na Madina IssaBARAZA la Wazee la Chama cha Mapinduzi Zanzibar, limeelezea kusikitishwa na kitendo cha Spika wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho, kusaini waraka unaopendekeza muundo wa...
View ArticleMke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Azindua Mtandoo wa FAWE...
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akiangalia machani ya Mla Kunguru ambayo hutegenezwa dawa za kuulia wadudu, akipata maele\o hayo kutoka kwa...
View ArticleWanaushirika Vumba wakisoma Gazeti la Zanzibar leo
WANAUSHIRIKA wa ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa na nyuki, waliopo kijiji cha Vumba, shehia ya Vitongoji wilaya ya Chakechake, wakijisomea magazeti yanayochapishwa na sherika la magazeti ya serikali...
View ArticleShirika la Bima lafanya semina kwa Polisi na watendaji wakuu wa serikali...
MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja, mstaafu Juma Kassim Tindwa, akifungua semina ya siku moja ya shirika la Bima, kwa Polisi wa usalama barabarani na watendaji wakuu wa Serikali kisiwani Pemba,...
View ArticleMishemishe za kutafuta chajio, soko la matunda Chakechake
Gari la Ng’ombe ni maarufu sana katika Visiwa vya Zanzibar katika kubeba mizigo mabali mbali hususan katika maeneo ya Sokoni , hapa Mwendesha Gari la Ng’ombe akiwa katika Soko la Matunda mjini...
View ArticleHalmashauri ya Wilaya ya Chake yakabidhi vifaa vya ujenzi wa Diko, Kichuwani
Wananchi wa kijiji cha Kichuwani nje ya mji wa Chake Chake, Kisiwani Pemba wakisubiri kukabidhiwa Vifaa vya Ujenzi wa Diko huko katika Bandari yao ya Kichuwani kutoka kwa Halmashauri ya Wilaya ya...
View ArticleBalozi Seif awafariji walioathirika na mvua na upepo mkali jana jioni
Moja ya kati ya Nyumba tatu zilizoathirika na upepo mkali uliovuma na kuathiri nyumba mbali mbali katika Mtaa wa Kwaalamsha Mjini Zanzibar Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi...
View ArticleMaalim Seif mgeni rasmi mahafali ya Chuo cha Utawala wa Umma
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akipokea mandamano ya wahitimu wa Chuo Cha Utawala wa Umma huko Tunguu mkoa wa Kusini Unguja jana.Picha na Martin Kabemba.Makamu wa Kwanza wa...
View ArticleNyumba za Polisi zateketea kwa moto Chumbageni, Tanga
Jana mchana nyumba za Askari wa jeshi la polisi zilizopo eneo la chumbageni nyuma ya kituo cha polisi kikuu cha chumbani jijini Tanga zaungua moto.Mkuu wa wilaya ya Tanga Mh.Halima Dendegu akiwasili...
View ArticleMkutano wa kimataifa wa kudhibiti madawa ya kulevya ukiendelea, Vienna Austria
Wawakilishi wa Zanzibar katika mkutano wa kimataifa kuhusu madawa ya kulevya huko Vienna Austria katikati ni Waziri Wa Nchi OMKR Mhe. Fatma A Ferej, kushoto ni Katibu Mkuu OMKR, Dr. Omar Shajak na...
View ArticleZAWA yaendelea kuchimba visima Pemba mradi wa maji safi na salama kwa wananchi
KATIBU Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Ali- Khalili Mirza, akionyeshwa kwa njia ya ramani, na mwalikishi wa Mamlaka ya maji ZAWA, Pemba Juma Ali Othuman, eneo la Matuleni...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE ADHAMIRIA KUWAKOMBOA WANA CHALINZE
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Kwaruhombo,leo Machi 16,2014.Ridhiwani Kikwete ameahidi...
View ArticleBODI YA UCHUNGUZI WA AJALI YA MV KILIMANJARO 2 YAKABIDHI RIPOTI YAKE KWA...
Mwenyekiti wa Bodi ya Kuchunguza Ajali ya Boti ya Kampuni ya Azam Marine Kilinanjaro 2, ikitokea kisiwani Pemba na kupata ghuruba ya upepo katika bahari ya Nungwi na kusababisha kupotea kwa baadhi ya...
View ArticleHSC YAMZAWADIA MSHINDI WA ‘Give a Way’
Nadhir (kushoto) akimkabidhi hundi, Rehane Jaffer (kulia) yenye thamani ya sh 500,000. Na Andrew ChaleKAMPUNI ya uuzaji wa bidhaa za majumbani na ofisini ya Home Shopping Centre (HSC) imemzawadia...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL A AFUNGUA MKUTANO WA WAWEKEZAJI KATI YA ISRAEL NA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata utepe kuzindua Kampuni ya Balton Tanzania, baada ya kufungua rasmi mkutano wa Wafanyabiashara na Wawekezaji kati...
View ArticleMwanajeshi feki mbaroni
Na Mwandishi wetuPOLISI Mkoa wa Kusini Pemba, linamshikilia Ali Faki Ali (22) mkazi wa Wawi Umangani,kwa kujifanya Ofisa wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na kuwapatia mafunzo ya kijeshi vijana...
View ArticleWaislamu kujadili uchumi wao
Na Fatuma Kitima, DAR ES SALAAMRAIS Mstaafu na mlezi wa Taasisi ya Walimu wanaofundisha Qur-an Tanzania (JUWAQUTA), Ali Hassan Mwinyi, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Mashekh na...
View Article