WANAUSHIRIKA wa ufugaji wa Ng’ombe wa maziwa na nyuki, waliopo kijiji cha Vumba, shehia ya Vitongoji wilaya ya Chakechake, wakijisomea magazeti yanayochapishwa na sherika la magazeti ya serikali Zanzibar, ambapo walipewa wakati timu ya waandishi wa shirika hilo, walipowatembelea kijijini kwao (picha na Haji Nassor, Pemba)
↧