MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Meja, mstaafu Juma Kassim Tindwa, akifungua semina ya siku moja ya shirika la Bima, kwa Polisi wa usalama barabarani na watendaji wakuu wa Serikali kisiwani Pemba, iliofanyika hoteli ya Hifadhi Chakechake, kulia ni Mkuu wa kituo cha shirika la Bima Pemba nd: Said Abdalla Basleyum na kushoto Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Zanzibar nd: Abdull-nasir Ahmed (picha na Haji Nassor, Pemba)
BAADHI ya washiriki wa semina iliondaliwa na shirika la Bima Zanzibar, wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa kusini Pemba, wakati akifungua semina hiyo iliofanyika hoteli ya hifadhi mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
WATANO kutoka kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe: Juma Kassim Tindwa akiwa na picha ya pamoja na watendaji wakuu wa shirika la Bima Zanzibar, mara baada ya kufungua semina ya Bima kwa viongozi wa Serikali na Polisi wa usalama barabarani, iliofanyika hoteli ya Hifadhi mjini Chakechake (picha na Haji Nassor, Pemba)
MKURUGENZI mtendaji wa shirika la bima Zanzibar nd: Abdull-nasir Ahmed, akifunga semina ya siku moja juu ya umuhimu wa kukata bima, kwa viongozi wa serikali na Polisi wa usalama barabarani, kulia ni Mkurugenzi wa bima za kawaida Zanzibar nd: Khadija Issa Said na kushoto ni Mkurugenzi kanda kutoka Dar-es Salaam Imamu Ali Makame (picha na Haji Nassor, Pemba)
MKURUGENZI wa bima za kawaida kutoka shirika la Bima Zanzibar nd: Khadija Issa Said akitoa mada juu ya taratibu na umuhimu wa kukata bima, kwenye semina iliofanyika hoteli ya Hifadhi mjini Chakechake, kulia ni Mkuu wa kituo cha shirika la Bima Pemba nd: Said Abdalla Basleyum, na kushoto ni Mkurugenzi mtendaji wa shirika hilo Zanzibar nd: Abdull-nasir Ahmed (picha na Haji Nassor, Pemba)