KATIBU Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar Ali- Khalili Mirza, akionyeshwa kwa njia ya ramani, na mwalikishi wa Mamlaka ya maji ZAWA, Pemba Juma Ali Othuman, eneo la Matuleni Wilaya ya Chake chake, ambalo limechimbwa kisima cha kusambazia maji safi na salama, kati ya visima 12 ambavyo vitachimbwa Pemba, kwa ufadhili wa Serikali ya Ras Al khaimah, na katikati ni Mkurugenzi wa Ras Al khaimah Protase Ishengoma (picha na Haji Nassor, Pemba)
ALIENYOOSHA mkono ni mwalikishi wa Mamlaka ya maji ZAWA Pemba, Juma Ali Othuman, akimfahamisha jambo, Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati Zanzibar, Ali- Khalil Mirza, wakati uongozi wa Wizara, kampuni ya ‘Chimba resources’ ya Tanzania bara na mwakilishi mkaazi Tanzania wa Ras Al Khaimah Protase Ishengoma walipofika eneo la Matuleni amblo limechimbwa kisima kwa ajili ya kusambaza maji safi na salama (picha na Haji Nassor, Pemba)