Mwananchi wakijiji cha donge Bi.Miza Khamis akipata huduma ya kupima miwani wakati wa zoezi la kutowa huduma kwaWananchi wa Wilaya yacKaskazini kupima afya zao, ikiwemo huduma ya kupima macho, akisoma wakati akipima miwani Thureya Salim, zoezi hilolimefanyika katika madarasa ya Skuli ya Donge.
Daktari Salma akimpima Bi.Asha Kombo aliefika kupata huduma ya kucheki afya yake wakati wa zoezi la kutoa huduma hiyo kwa Wananchi kupima Afya zao, akipimwa Presha wakati wa zoezi hilo lililofanyika katika Skuli ya Donge Mkoa wac Kaskazini Unguja.Huduma hiyo imetolewa na Jumuiya isiyokuwa ya Kiserekali ya ZOP.