Hospitali zinazouza damu zaonywa
Na Kija Elias, MOSHIBENKI ya Damu imezionya hospitali zenye tabia ya kuwauzia damu wagonjwa.Kauli hiyo imetolewa jana na Meneja wa kituo cha damu salama kanda ya kaskazini, Dk. Wilhellmuss Mauka,...
View Article‘ARVs zazuia maambukizi ya Ukimwi’
Na Mariam Kamgisha,MorogoroMWENYEKITI wa Baraza la Taifa la watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (NACOPHA), Vitaris Makuyula, amesema iwapo dawa za kupunguza makali ya Ukimwi (ARVs) zitatumiwa kwa miaka...
View ArticleJK apokea ujumbe wa Rais Zuma
Na Mwandishi wetuRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini.Ujumbe huo wa Rais Zuma umewasilishwa na Waziri...
View ArticleWarioba kuwasilisha rasimu bungeni leo
Na Mwandishi wetuMWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, leo anatarajiwa kwenda bungeni kuwasilisha rasimu ya pili ya katiba kwa wajumbe wa bunge hilo.Mwishoni mwa wiki...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Grand Malt kati ya Miembeni na Zimamoto timu hizo...
Mshambuliaji wa timu ya miembeni akimpita beki wa timu ya Zimamoto katika mchezo wa Ligi Kuu uliofanyika uwanja wa Amaan, Timu hizozimetoka sare bila ya kufungana Lizaaza golini kwa timu ya Zimamoto...
View ArticleOLE SENDEKA, LEKULE LAIZA WAMFAGILIA RIDHIWANI KIKWETE CHALINZE,WAWATAKA...
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwa katika Mkutano na Wazee wa Kimasai walipokuwa wakijadilina juu ya swala la Wafugaji wa...
View ArticleMkutano wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano Kukabiliana na Maradhi...
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika...
View ArticleTaarifa ya kikao cha Bunge la Katiba
Baada ya kutokea vurugu zilizosababishwa na baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalum kupelekea Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba Jaji Joseph Warioba kutokuwasilisha rasimu ya pili ya Katiba kwa...
View ArticleUimarishaji wa Miundombinu ya Barabara Zenj
Greda ya Idara ya Utunzaji wa barabara Zanzibar ikiweka sawa kifusi ili kutengeneza sehemu ya barabara ya Magomeni ambayo imeharibika kutokana na kujaa kwa maji katika eneo hilo la Sogea na...
View ArticleWANANDINGA 36 WATAJWA MABORESHO TAIFA STARS!!
Kaimu Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi……………………………………………………………….Jopo wa wang’amuzi vipaji limetangaza majina ya wachezaji 36 waliopataikana katika...
View ArticleHIGHER EDUCATION IN SCIENCE & TECHNOLOGY CRITICAL FOR AFRICA’S FUTURE, SAY...
by JOHN BUKUKU on MARCH 18, 2014 in JAMII with NO COMMENTSKIGALI, March 17, 2014 – At a high-level forum in the Rwandan capital, H.E. President Kagame, President of Rwanda and World Bank Vice President...
View ArticleMwenyekiti wa Tume ya Katiba Awakilisha Rasim ya Katiba katika Bunge Maalum...
HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA, MHE. JAJI JOSEPH SINDE WARIOBA, AKIWASILISHA RASIMU YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA KATIKABUNGE MAALUM LA KATIBA,MACHI...
View ArticleMambo ya Kupendwa na Wadau wa Mitandao ya kuchati Majuu
Mambo ya kuchati hayo kwa Vijana wakiwa nje ya jengo la Ofisi ya Zanlink majestik wakipata huduma hiyo bure bila ya malipo wakichati na ndugu na jamaa na wengine hutumia free hiyo kwa kujisomea mambo...
View ArticleZantel yatoa msaada kwa Chama Cha Mpira wa Pete
Na. Mwandishi Wetu.Kampuni ya simu za mikononi ya Zantel leo imekabidhi hundi yenye thamani ya shilingi milioni kumi kwa chama cha Netiboli nchini msaada wenye lengo la kuendeleza mchezo huo hapa...
View ArticleZantel Yaipiga Tafu Chaneta Dar, kuimarisha Mchezo wa Netiboli Tanzania.
Meneja wa Mahusiano wa Kampuni ya Zantel, Charles Jutta akimkabidhi Cheki Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba Nkinga hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya...
View ArticleZantel supports Tanzania Netball Association
Zantel Tanzania has handed over a support of 10 million Tanzaniashillings to the Tanzania Netball Association (CHANETA) for the development of netball in the country.Handing the cheque to the Permanent...
View Article‘Usasa unaongeza magonjwa yasiyoambukiza’
Na Salum Vuai, MAELEZOMIFUMO ya kisasa ya kuishi ambapo watu wengi wanaiga mila za kimagharibi, imeelezewa kuwa inachangia sanaongezeko la magonjwa yasiyoambukiza hapa Zanzibar.Akitoa mada katika...
View ArticleWanafunzi 1,222 wafaidika huduma ya maji
Na Hanifa Salim PEMBAJUMLA ya wanafunzi 1,222 na walimu 13 katika skuli ya Kangagani msingi na sekondari mkoa wa kaskazini Pemba, wamefaidika na mradi wa maji ulitolewa na Jumuiya ya ZanzibarOutreach...
View Article