Meneja wa Mahusiano wa Kampuni ya Zantel, Charles Jutta akimkabidhi Cheki Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba Nkinga hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya kusaidia chama cha Netboli Tanzania (CHANETA) makabidhiano hayo yamefanyika Wizara ya Habarí mjini Dar-es-Salaam. Leo. .
Meneja wa Mahusiano wa kampuni ya Zantel, Ndg. Charles Jutta akimkabidhi Cheki ya shilingi milioni kumi, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba Nkinga, akishuhudia Mwenyekiti wa CHANETA Bi Anna Kibira, mchangohuo uliotolewa na Kampuni ya Zantel kuchangia Chaneta katika shughuli zake za mchezo wa Netiboli Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi Sihaba Nkinga akionyesha hundi ya shilingi milioni kumi kwa ajili ya kusaidia chama cha netboli nchini (CHANETA) iliyotolewa na kampuni ya Zantel. Anayetazama kushoto ni Meneja wa Mahusiano wa Kapuni ya Zantel, Charles Jutta.