Korea kumaliza tatizo la chakula Z’bar
KATIBU Mkuu Wizara ya Kilimo na Misitu Ndg. Affan Othman Maalim, akitiliana Saini na Mtaalam wa Kilimo cha Umwagiliji Maji kutoka Korea,Ndg. Yoon Chang-Jin, hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa...
View ArticleCAG kuchunguza mabilioni ya IPTL
Na Fatma Kitima, DAR ES SALAAMKAMATI ya Hesabu za Serikali ya Bunge (PAC), imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuafanya ukaguzi maalumu wa suala zima IPTL na uhalali wa...
View ArticleJK kulihutubia bunge Ijumaa
Na Mwandishi wetuRAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Kikwete, atalihutubia bunge maalum la katika Ijumaa ya Machi 21 saa 10:00 jioni.Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa...
View ArticleBalozi Seif azindua Kituo cha huduma za akinamama wajawazito Pwani Mchangani
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort Bwana Massliano Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama...
View ArticleMkuu wa mkoa wa Kusini Pemba azindua mradi wa TASAF III
Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba , Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa, akizungumza na Wananchi wa Shehia ya Ndagoni Pemba katika uzinduzi wa TASAF , katika mradi wa kuzinusuru Kaya Maskini.Mkuu wa Mkoa wa...
View ArticleKaya zenye hali duni zaanza kusaidiwa kupitia mradi wa TASAF III shehia ya...
Mlengwa wa Kaya Maskini akiweka saini katika karatasi ya malipo, huko Ndagoni Pemba. Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Pemba, Mwanajuma Majid Abdalla, akimkabidhi Fedha Mlengwa wa Kaya Maskini wa Shehia...
View ArticleZanzibar Charitable Society yatoa misaada Pemba
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Waandishi wa habari za kujitegemea kisiwani Pemba, Suleiman Rashid Omar, (kushoto) akipokea Computer kutoka kwa mwenyekiti Mtendaji wa Jumuiya ya Zanzibar Charitable Society,...
View ArticleRidhwani Kikwete : Kila kijiji Chalinze kupata trekta
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete (kushoto) akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Mindukene,Kata ya Talawanda ndani ya Jimbo la Chalinze leo Machi...
View ArticleLigi Kuu ya Zanzibar Grand Malt Chuoni na KMKM Uwanja wa Amaan timu hizo...
Mchezaji wa timu ya KmKm, akiondoa mpira galini kwaona huko mshambuliaji wa timu ya Chuoni akiwa tayari kumzuia, wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar Grand Malt mchezo uliofanyika uwanja wa Amaan,...
View ArticleJaji Warioba aibua makubwa · Asema Ofisi ya Makamu wa Rais, Waziri Mkuu...
Na Mwandishi WetuMWENYEKITI wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji (mstaafu) Joseph Warioba, amesema baadhi ya taasisi za kiserikali, ama moja kwa moja au kwa tafsiri ya mapendekezo yao, zilipendekeza...
View ArticleMzee Mwinyi awataka Waislamu kuzichangamkia fursa za kiuchumi
Na Fatuma Kitima, DAR ES SALAAMRAIS mstaafu wa awamu ya pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Ali Hassan Mwinyi,amewaasa waislamu kuzitambua fursa zilizopo na kuzitumia kwa umakini ili waweze...
View ArticleCCM YAZINDUA KAMPENI ZAKE KWA KISHINDO JIMBO LA CHALINZE.
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi,Ndg. Abdulrahman Kinana akimuinua Mkono Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Uzinduzi wa Kampeni za...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHITIMISHA SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA WIKI YA MAJI...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dkt. Rehema Nchimbi, wakati wa sherehe za maadhimisho ya Wiki ya maji...
View ArticleRAIS KIKWETE AKUTANA NA BINTI MFALME WA SWEDEN LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Binti wa Mfalme wa Sweden HRH Crown Princess Victoria Lugrid Alice Desiree alipomkaribisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Mach 19, 2014Princess Victoria, ambaye...
View ArticleTurkish Scholarship Programme 2014
Application Starting Date : 03 March 2014Application Deadline : 31 March 2014Türkiye Scholarships Postgraduate Programmes are full government funded programmes for successful international students...
View ArticleMzee Sheha Omar Bakar aagwa
AFISA Mdhamini Wizara ya Mifugo na Uvuvi Pemba nd: Mayasa Hamad Ali , akimkabidhi funguo za baiskeli nd: Sheha Omar Bakar aliekuwa mfanyakazi wa wizara hiyo, ambapo pamoja na wafanyakazi wengine juzi...
View ArticleWiki ya Maji Duniani
Mafundi wa Mamlaka ya Maji Zanzibar ( ZAWA ) wakitengeneza moja ya bomba la kupitishia maji kwa Wakaazi wa Mji Mkongwe wakilifanyia matengenezo baada ya kupasuka na kumwaga maji barabarani ,Mkurugenzi...
View ArticleRais Kikwete akiwa kazini ndani ya Ndege kuelekea Dodoma.
Kweli Urais hauna ubia wala muda ama sehemu ya kuchapa kazi. Wakati wowote na mahali popote ni sehemu ya kazi, kama inavyoonekana hapa ambako Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya...
View ArticleNMB Yatowa Darasa kwa Wafanyabiashara Wadogo, Wakati na Wajasiriamali Zanzibar
Meneja Kanda ya Dar-es-Salaam wa Banki ya NMB Tanzania Ndg. Salie Mlay, akifungua mafunzo ya Wafanyabiashara Wadogo na Wakati Zanzibar, kupitia Mtandao wao wa NMB Bussines Club, iliofanyika katika...
View Article