Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif akiwa sambamba na Mwakilishi wa Hoteli ya Waride Resort Bwana Massliano Bramucci wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Huduma za akina Mama wajawazito katika Kijiji cha Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mashine ya Uchunguzi wa maradhi mbali mbali ya Tumbo { Ultra Sound } iliyomo ndani ya Kituo cha huduma za akina Mama wajawazito kilichopo Pwani Mchangani kilichojengwa kwa ufadhili wa Hoteli ya Waride Resort
Kitanda cha kuzalia kilichomo ndani ya Kituo cha huduma za akina Mama wajawaziro kiliopo hapo Pwani Mchangani Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Balozi Seif pamoja na wageni wengine waalikwa katika uzinduzi wa kituo cha huduma za akina mama wajawazito wakiangalia Gari la wagonjwa litakalotoa huduma kwenya Kituo hicho.
Picha na Hassan Issa wa - OMPR – ZNZ.