Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Uimarishaji wa Miundombinu ya Barabara Zenj

$
0
0
 Greda ya Idara ya Utunzaji wa barabara Zanzibar ikiweka sawa kifusi ili kutengeneza sehemu ya barabara ya Magomeni ambayo imeharibika kutokana na kujaa kwa maji katika eneo hilo la Sogea na kusababisha eneo hilo kuchimbika na kuwa kero kwa watumiaji wa barabara hiyo.
Wafanyakazi wa Idara ya michirizi Unguja wakijenga mtaro wa kupitishia maji katika barabara ya Jangombe kwa bint Hamran.
 
Mtaro huu unajengwa pembeni ya barabara hiyo ili kuweza kupitisha maji wakati wa mvua, ikizingatiwa wakati huu tukiwa katika msimu wa mvua za masika zinazonyesha katika maeneo mbalimbali katika visiwa vya Unguja na Pemba. 

Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles



<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>