Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Mkutano wa Mpango Mkakati wa Miaka Mitano Kukabiliana na Maradhi Yasioambukiza Zanzibar

$
0
0
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma akifungua mkutano wa Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.


Mkuu wa Kitengo cha maradhi yasioambukiza Dk,Omar Mwalim akiwasilisha mada kuhusu Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.
Mwakilishi kutoka Danida tawi la Zanzibar, Dr.Jutta (katikati) akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View Zanzibar.
Meneja wa Mradi wa Kumaliza Malaria Zanzibar Abdulla Suleiman (wa pili kulia) akichangia mada kuhusu kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View.
Washiriki  wa Mkutano wa kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar wakijadiliana kuhusiana na maswali mbalimbali yaliojitokeza katika mkutano huo,hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View .
Mkurugenzi wa Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dk Mohd J,Dahoma katikati akiwa katika picha ya Pamoja na washiriki wa Mkutano unaohusiana na Mpango mkakati wa Miaka mitano 2014 hadi 2019 juu ya kukabiliana na magonjwa yasioambukiza Zanzibar hafla iliofanyika katika Hoteli ya Zanzibar Ocean View .



Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles