Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omarb Othman Makungu akifungua mafunzo ya Siku Nne ya Kuwaongezea Uwezo Majaji na Mahakimu wa Zanzibar . Mafunzo haya yanaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar kwa Udhamini wa Shirika la Mpango wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) kushoto Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar Ngd. Mdungu Makame.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar Ngd. Mdungu Makame, akizungumza wakati wa mafunzo hayo ya Kuwajengea Uwezo Majajin na Mahakimu wa Zanzibar yaliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.