Diwani Anusurika Kifo
Na Joseph Ngilisho,ARUMERUDIWANI wa kata ya Olkiding'a,Samweli Ngarabani,amenusurika kuuawa na wananchi wenye hasira kali, baada ya kuwatolea majibu machafu kwenye mkutano wa hadhara aliouitisha kwa...
View ArticleHawana maji tokea uhuru
NaJumbe Ismailly,IRAMBAPAMOJA na kukamilika miundombinu ya maji tangu mwaka 1998, zaidi ya wakazi 1000 wanaoishi katika kaya 335 zilizopo kijiji cha Meli,tarafa ya Kisiriri wilayani Iramba,mkoani...
View ArticleRAIS KIKWETE ATEMBELEA ABERDEEN, SCOTLAND, AONGEA NA KUNDI LA WABUNGE WA...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kundi la Wabunge wa vyama mbalimbali vya siasa walio marafiki wa Tanzania pamoja na wanachama wa Britain and Tanzania Society (All Party Parliamentary Group...
View ArticleUjenzi wa Tangi la Maji Likiwa katika hatua za Mwisho ya Ujenzi Wake
Ujenzi wa Mradi wa Ujenzi wa Matanki ya Maji Safi na Salamackisiwanin Pemba ikiwa katika hatua za mwisho ya kukamilika kwa ujenzi huo na kutowa huduma ya Maji kwa Wananchi wa Mtambwe na Vijiji vya...
View ArticleJapan yasaidia kilimo
Na Fatuma Kitima, DAR ES SALAAMSERIKALI ya Tanzaniana Japan zimesaini mkataba wa shilingi bilioni 6.02 kwa ajili ya kununua mbolea ikiwa lengo la kuwasaidia wakulima wadogo.Hayo yalisemwa jana jijini...
View ArticleMbaroni kwa kuchoma nyumba moto
Na Asya HassanJESHI la Polisi mkoa wa mjini magharibi Unguja, linamshilia Khamis Said Faki mkaazi wa Kwamtipura kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba ya Tatu Makame iliopo Kwamtipura wilaya ya mjini...
View ArticleGunia 34 za karafuu zanaswa
Na Masanja Mabula, PEMBAKIKOSI maalumu cha kuzuia magendo (KMKM) kisiwani Pemba, kimekamata magunia 34 ya karafuu kavu ambazo zilikuwa katika harakati ya kusafirishwa kwenda nje ya nchi kwa njia ya...
View ArticleBalozi wa Indonesia Nchini Tanzania akishiriki Upandaji wa Miti kuadhimisha...
Vijana wa Jumuiya ya TAY, wakiwa katika kituo chao kilioko muembe madema wakijiandaa kwenda kupanda miti katika eneo la Kizingo ili kutunza mazingira ya eneo hilo kwa ajili ya kutengeneza mazingira...
View ArticleRais kutembeklea Ujenzi wa Mnara Michezani Zenj.
Taarifa kwa Vyombo vya habari RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DKT ALI MOHAMED SHEIN KESHO SAA 03:00 ANATARAJIWA KUTEMBELEA UJENZI WA MNARA WA...
View ArticleRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete Ahudhuria...
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shares a light moment with Swaziland King Mswati III shortly before the commencement of the Fourth European Union and Africa Summit held in BrusselsBelgiumthis...
View ArticleRais Kikwete ahudhuria mkutano wa (EU Africa Summit)
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone: 255-22-2114512, 2116898 E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.compress@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleJaji Mkuu Zanzibar Afungua Mafunzo ya Kuwajengea Uwezo Majaji na Mahakimu.
Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omarb Othman Makungu akifungua mafunzo ya Siku Nne ya Kuwaongezea Uwezo Majaji na Mahakimu wa Zanzibar . Mafunzo haya yanaendeshwa na Wizara ya Katiba na Sheria Zanzibar kwa...
View ArticleMANISPAA YA KINONDONI YANUNUA MAGARI MAPYA 10 YENYE THAMANI YA MIL 779 KWA...
Magari Mapya aina ya Toyota Yakiwa Manispaa ya Kinondoni leo mara baada ya kukabidhiwa Mwonekano wa moja ya gari mpya zilizonunuliwa na manispaa ya kinondoni Gari mpya aina ya Landcruiser ikiwa Ofisi...
View ArticleMgombea Ubunge Jimbo la Chalize Ridhiwani aendelea na Kampeni yake.
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze (CCM),Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia Mamia ya wakazi wa Kijiji cha Lugoba waliofurika kwenye uwanja wa Mnadani,kusikiliza sera ya...
View ArticlePresident Kikwete meets the President of The EU Council and EU Commission
President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete pose for a photo with The President of the European Council Herman Van Rompuy(Right) and the President of the European Commission Jose Manuel(left) at the beginning...
View ArticleWaandishi Wakiwa na Simazi Wakipata Stori ya Ubakaji kwa Mtoto wa umri wa...
Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa makini wakimsikiliza Mzazi aliyefika katika Ofisi za Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania ( TAMWA ) katika mtaa wa mombasa Unguja...
View ArticleUtafiti wa Eneo la Ujenzi wa Bandari Waendelea
Na Faki Mjaka-Maelezo Zanzibar 03/04/2014Kampuni ya Royal Hanskoning DHV ya Nchini Uholanzi inayoendelea na Utafiti wa kujua Maeneo ambayo yanafaa kujengwa Bandari imegundua Maeneo ya Fumba,...
View ArticleDk Shein akagua ujenzi wa mnara na kiwanja cha watoto Kariakoo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,atembelea maendeleo ya Ujenzi wa Mnara wa Kumbu kumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar unaojengwa katika viwanja wa Kisonge...
View Article