Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali Zanzibar wakiwa makini wakimsikiliza Mzazi aliyefika katika Ofisi za Jumuiya ya Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania ( TAMWA ) katika mtaa wa mombasa Unguja (jina limehifadhiwa) akizungumzia kuhusu kwa kubakwa kwac Mtoto wake jina limehifadhi mwenye umri wa miaka 12, amabakwa na Shemeji yake, akizungumzia mkasa huo. alipofika katika ofisi hiyo ambayo inapiga vita uzalilishaji wa kijinsia kwa Wanawake na Watoto.
Waandishi wakiwa na huzuni wakati wa mzazi huyo akitowa habari iliompata mtoto wake kwa kudhalilishwa.
Mdau wa habari za kupinga mambo ya uzalilishaji akiwa na majonzi wakati mkimsikiliza mzazi huyo, hayo. hii ilikuwa wakiwa katika mafunzo ya kuripoti habari za uchunguzi na Udhalilishaji wa Watoto na Wanawake, Mafunzo yanayotolewa na TAMWA Zanzibar na kufadhiliwa na TMF Tanzania.
Inasikitisha hali hii ya ukatili wa kuwadhalilisha watoto kuwafanyia vitendo vyav kinyama kweli inauma sana hali hii.