Dkt. Shein Atembelea Ujenzi wa Mnara na Uwanja wa Watoto Kariakoo na Skuli ya...
Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar ukiendelea na Ujenzi wake kwahatua kubwa, kama unavyoonekana pichani ukiwakatika hatua hiyo. Hivi ndivyo itakavyokuwa kiwanja cha Furaha cha...
View ArticleWakulima wa tungule na mahindi Pemba waomba pembejeo ili kukuza pato lao
Na Haji Nassor, PEMBA WAKULIMA wanaojishughulisha na kilimo cha tungule na mahindi, shehia ya Mjini ole wilaya ya wete Pemba, wameiomba Serikali kuwapatia pembejeo za kilimo hicho, ili kiweza kuleta...
View ArticleUtalii wa ndani uimarishwe kuendeleza dhana ya utalii kwa wote
Na Rehema Mohamed, PEMBAMSHINDI wa shindano la bahati nasibu, lililoandaliwa na Kamisheni ya Utalii, Bi Agnes Barbra Tayari, amewataka wanajamii kuitumia dhana ya Utalii kwa wote, ili kuweza kutembelea...
View ArticleUkosefu wa vipimo vya Vinasaba kisiwe kisingizio cha kuwaachia...
Na Haji Nassor, PEMBAVYOMBO vya sheria nchini, wametakiwa kuacha kisingizio cha ukosefu wa kipimo cha vinasaba ‘DNA’ na kuwaachia huru wanaowadhalilisha wanawake na watoto, ikiwa ni pamoja na wabakaji....
View ArticleMkoani Pemba washajiishwa kujifunza Kompyuta
Habiba Zarali, PEMBA. Wananchi Wilaya ya Mkoani kisiwani Pemba wameshajiishwa kujifunza kompyuta, ili kwenda sambamba na kasi ya mabadiliko ya teknolojia Ulimwenguni. Akizungumza na wahitimu wa...
View ArticleWaraka kutoka Zanzibar - Zanzibar ni kamili, siyo nchi ya ‘kusadikika’
Jambo linalosemwa mara nyingi ni marekebisho ya kumi ya Katiba ya Zanzibar ambayo yanadaiwa kwenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Suala hilo limezusha mjadala mkubwa Tanzania...
View ArticleUzinduzi wa Bidhaa za Kampuni ya ZATEPA Zanzibar
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya ZATEPA Zanzibar Ndg. Said Salim Hemed,akiksisitiza jambo wakatin wa kutoa maelezoya mafanikio ya kiwanda chao kinachozalisha Bidhaa mbalimbali. Kiwanda hicho kimetowa...
View ArticleZiara ya kutembea Vikundi vya Wanawake Wilaya ya Kati Unguja.
Ujumbe wa Wafadhili kutoka Umoja wa Ulaya na Shirika la Umoja wa Mataifa linalosaidia Wanawake wakipata maelezo ya kutoka kwa mmoja wa Mwanakikundi wa kijiji hicho.wakielezea jinsi ya upandaji wa mwani...
View ArticleMgombea Ubunge Jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete azungumza na Waandishi...
Mgombea wa Ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete, akizungumza na waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali kuhusiana na Kampeni yake ya kugombea Ubunge katika...
View ArticleSiku ya Mashujaa kuadhimishwa tarehe 07/04/14
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI 4/4/2014Maadhimisho ya siku ya Mashujaa (Karume Day) kwa mwaka 2014 yatafanyika siku ya Jumatatu tarehe 7/4/2014 Ofisi Kuu ya CCM...
View ArticleKampuni ya CHEC yataka kujenga bandari Zanzibar
Balozi wa Malawi Nchini Tanzania Balozi Flossie Gomile Tijaonga akisalimiana na kufanya mazungumzo na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ofisi kwake Vuga Mjini Zanzibar. Makamu wa...
View ArticleDkt Bial awahutubia wananchi na wanachama wa CCM Mkoa wa mjini Unguja leo
Wasanii wa kikundi cha Big Star wakiimba nyimbo maalum kwa ajili ya kumkaribisha Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...
View ArticleDk Shein afunga kampeni za jimbo la Chalinze leo
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na mgombea ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ridhwani Kikwete wakati wa...
View ArticleKesi ya kupatikana na bangi yaakhirishwa kwa mshatakiwa kutofika mahakamani
Na Hanifa Salim, PEMBAMWENDESHA mashitaka kutoka Ofisi ya mkurugenzi wa mashitaka Seif Mohamed Khamis, ameiomba mahakama kulipangia shauri la mshitakiwa Nassor Khatib Mbarouk (35) aneshitakiwa kwa kosa...
View ArticleMahakamani kwa kulawiti mtoto wa miaka 14
Na Shemsia Khamis, PEMBAMAHAKAMA ya Mkoa Chakechake, chini ya Hakimu Khamis Ramadhan Abdalla, imempandisha kizimbani mshtakiwa Abuu Said Omar (15), mkaazi wa Wawi Chakechake, kujibu tuhuma za kumlawiti...
View ArticleKongamano Kuzungumzia Rasimu ya Katiba Bwawani Zenj.
Mjumbe Mstaafu wa Tume ya Marekebisho ya Katiba, Mhe Awadh Ali Said, akizungumza katika Kongamano la Kuzungumzia Rasimu ya Katiba, akizungumzia katika kongamano hilo muundo wa uliowakilishwa na tume...
View Article