Quantcast
Channel: ZanziNews
Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania akishiriki Upandaji wa Miti kuadhimisha Siku ya Upandaji wa Miti Duniani.

$
0
0
Vijana wa Jumuiya ya TAY, wakiwa katika kituo chao kilioko muembe madema wakijiandaa kwenda kupanda miti katika eneo la Kizingo ili kutunza mazingira ya eneo hilo kwa ajili ya kutengeneza mazingira mazuri kwa wananchi kulitumia eneo hilo kwa mapumziko ya jioni. 
Balozi wa Indonesia Balozi Zakari Ansar, akijumuika na Vijana wa Jumuiya ya TAY Tanzania kupanda miti ikiwani  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani kwa upandaji wa miti kutunza mazingira ya eneo la Kizingo.  
Vijana wakiwa na minazi na miti mengine kwa ajili ya upandaji wa miti hiyo, ikiwa ni kuadhimisha siku ya mazingira duniani.
Balozi wa Indonesia Balozi Zakari Ansar.akipanda mnazi katika maeneo ya kizingo Zanzibar.
Vijana wa Jumuiya  ya TAY wakijumuika na Balozi wa Indonesia Nchini Tanzania Balozi Zakari Ansar, akipanda mti wa mnazi ikiwa ni kuadhimisha Siku ya Mazingira Diniani.



Vijana wakipanda miti katika eneo la kizingo ili kuliimarisha eneo hilo kwa madhumuni ya eneo hilo kuwa la mapumziko ya jioni kulifanya Foro ya pili Zanzibar. kupatikana mahitaji kama ya forodhani.
Kapteni Muusa akishiriki katika zoezi la upandaji wa miti hiyo.

Mratibu wa mradi huoNdg. Masoud Lee akitowa maelezo ya zoezi hilo la upandaji wa miti katika hafla hiyo.iliofanyika katika viwanja vya kizingo.

Balozi Zakari Ansar akizungumza katika hafla hiyo ya upandaji wa miti akitowa maelezo ya umuhimu wa utunzaji wa mazingiri ni muhimu kwa jamii binaadamu kupata hali ya hewa ilio kuwa safi na mazingira mazuri kwa wakazi wa eneo lile.
                Diwani Kadhi Zuberi Juma akitowa shukrani wakati wa hafla hiyo. ya upandaji wa miti.
Diwani wa Kikwajuni Ndg. Mahboob Juma, akizungumza katika hafla hiyo ya upandaji wa miti ikiwa nin kudhimishwa kwa Siku ya Mazingira Duniani, katika viwanja vya kizingo.   
          Vijana wa TAY wakifurahia jambo wakati wa hafla hiyo ya kuadhimisha siku ya mazingira duniani.





Viewing all articles
Browse latest Browse all 35043

Trending Articles