Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wakishirikiana na Urban pulse Creative media wanakuletea ziara ya Rais Jakaya M Kikwete London tarehe 30/03/2014 na kukutana na Watanzania wanaoishi Uingereza.
Kabla ya kuwasili kwake Shirika la NSSF lilipata fursa ya kutambulisha Bima ya WESTADI kwa watanzania wanaoishi ughaibuni