Polisi yakamata Bunduki
Jeshi la polisi Zanzibar limekamata bunduki moja aina ya S M G yenye risasi 31 na bastola aina ya Browning na risasi 9. Bunduki hizi zinadaiwa kutumika tarehe 2.3.2014 katika tukio la mauaji...
View ArticleBima ya WESTADI
Ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza wakishirikiana na Urban pulse Creative media wanakuletea ziara ya Rais Jakaya M Kikwete London tarehe 30/03/2014 na kukutana na Watanzania wanaoishi Uingereza.Kabla...
View ArticleRais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Jakaya Mrisho Kikwete Atunukiwa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mheshimiwa Bernard Membe, akimsikiliza mwendesha shughuli Lady Kate Atabalong Ndi, Kamishna Masuala ya Afrika wa Gavana wa jimbo la Maryland nchini...
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari.
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleTaarifa kwa Vyombo vya Habari
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIADIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONSTelephone:255-22-2114512, 2116898E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com press@ikulu.go.tz Fax:...
View ArticleKituo cha Redio cha Al-Noor Chaunguwa kwa Moto maeneo ya Mtoni Daraja Bovu.
Jengo la Ofisi za Kituo cha Redio cha Al Noor , sehemu hii inayotumika na kituo hicho ikiwa imeteketea kwa moto uliotokea usiku wa juzi na kusababisha hasara na mmoja wa Mfanyakazi wake aliyekuwa zamu...
View ArticleOporesheni kuzuia Bodaboda na Bajaji Kuingia Mitaa ya Jiji Yaaza leo Dar.
Oparesheni Kamata Bodaboda na Bajaji ikiwa inaendelea upande wa Mwenge mataa ambapo Bajaji nyingi zimekamatwa Askari wa Usalama wa Barabarani akiwa anawaandikisha Baadhi ya Bodaboda na Bajaji wenye...
View ArticleMvua ya Masika yazuia kwa muda za Kijamii.
Mvua za Masika zinazoendelea kunyesha katika sehemu mbalimbali za mji wa Zanzibar zimesababisha baadhi ya barabara kujaa kwa maji wakati wa mvua hizo kunyesha na maji ya mvua kuizidi nguvu mitaro ya...
View ArticleBunge Maalum la Katiba Kuendelea na Kikao Chake Leo Dodoma.
Na Mwandishi wetuWAJUMBE wa Bunge maalum la Katiba, wanarejea leo baada ya mapumziko ya karibu wiki moja ya kuandika ripoti.Mkutano wa leo, utatoa nafasi kwa Wenyeviti wa Kamati 12 kuanza kuwasilisha...
View ArticleWaafrika Watakiwa Kuheshimu Tamaduni Zao
Na Ramadhan Himid, ChinaWASHIRIKI wa semina ya usimamizi wa sheria za bahari kutoka nchi tofauti za Afrika walioko mjini Ningbo China, wametakiwa kila mmoja kujenga utamaduni wa kuheshimu utamaduni wa...
View Article‘Watu 100,000 hufa kwa malaria’
Na Fatuma Kitima,DAR ES SALAAMTAKWIMU zinaonesha Watanzania milioni 16 hadi 18 wanapata ugonjwa wa malaria kila mwaka na inakadiriwa kwamba watu 100,000 hufariki kwa ugonjwa huo ikiwa kati yao 70,000...
View ArticleAliyemmwagia maji ya moto ‘house girl’ asukumwa rumande
Na Khamisuu AbdallahBOSI aliemmwagia maji ya moto mfanyakazi wake wa ndani na kumsababishia maumivu, amefikishwa mahakamani na kurejeshwa rumande hadi Aprili 22.Mshitakiwa huyo ni Ali Abrahman Ali (49)...
View ArticleSUZA kuanzisha shahada ya utalii
Na Juma KhamisILI kuchangia sekta ya utalii inayozidi kukua kwa kasi nchini, Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), kitaanzisha shahada ya kwanza ya usimamizi wa utalii na biashara (B.TMM) katika...
View ArticleMeli ya serikali kuwasili Feb. 15
Na Hafsa GoloMELI mpya ya serikali inayotengenezwa nchini Korea Kusini inatarajiwa kuwasili nchini Febuari 15 mwakani.Meli hiyo inayotengenezwa na kampuni ya Posco Plantec, ipo katika hatua nzuri ya...
View ArticleTaarifa ya Hali ya Hewa Tanzania.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA UCHUKUZIMAMLAKA YA HALI YA HEWA TANZANIASimu: 255 22 2460735/2460706FAKSI: 255 22 2460735/2460700...
View ArticleWaziri Membe Akutana na Gavana wa Jimbo la Maryland Marekani.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akisalimiana na Gavana wa Jimbo la Maryland la nchini Marekani, Mhe. Martin O'Malley walipokutana jijini Washington D.C...
View ArticleJamani hivi Inafaa au ni makusudi kuharibu Mazingira.
Ikiwa sio hali na kawaida kwa chombo cha kuwekea taka kuwa na muonekano kama huu. na kusababisha Wananchi wanaotumia chombo hichi kumwaga taka chini badala ya kwenye kontena hili. Ikizingatiwa siku...
View Article