Ikiwa sio hali na kawaida kwa chombo cha kuwekea taka kuwa na muonekano kama huu. na kusababisha Wananchi wanaotumia chombo hichi kumwaga taka chini badala ya kwenye kontena hili.
Ikizingatiwa siku chache Taasisi husika ilichukua juhudi za makusudi kusafisha maeneo yote ya mji wa Unguja kufanya usafi wa kuondoa taka katika maeneo hayo na kuwa katika hali ya usafi na kuonekana katika mazingira safi.
Katika maeneo yote yaliokuwa yamefurika taka. kama linavyoonekana eneo hili la jumba namba 6 likiwa katika hali ya usafi na kuwa na dosari ya kuwekwa vibaya chombo cha kutilia taka na Wananchi wa eneo hilo kuweza kutupa taka chini na kurejesha hali ya uchafuzi wa mazingira ya sehemu hiyo.