Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar Pichani akiwa Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kwa matipabu ambapo amepata Ajali na kukatika mguu mmoja na mwengine kuumia pamoja na mkono ajali iliyosababishwa na Hitilafu ya umeme katika Studio hapo Masjid Swahaba Mtoni Zanzibar, aliumia baada ya kujirusha kutoka Juu ya Ghorofa Moja.
Makamu wa Kwanza wa Rais Maalim. Seif Sharif Hamad akisalimiana na Aboubakar Fakih Mtangazaji wa Radio Noor FM 93.3 na nimuajiriwa wa Idara ya Habari Maelezo Zanzibar alipokwenda kumtembelea Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Zanzibar
Dokta wa Mifupa Said Omar (Gaza) akiwaonyesha Maalim Seif Sharif Hamad na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Abdallah Mwinyi Khamis sehemu aliyokatika Aboubakar Fakih, walipoenda kumkagua.
(Picha na Makame Mshenga wa Maelezo Zanzibar).