$ 0 0 Askari wa barabarani wakiwa katika zoezi la ukaguzi wa vyombo vya moto katika maeneo mbalimbali ya mji wa Zanzibar kudhibiti uhalali wa vyombo hivyo kupata ruhusa ya kutembea barabarani baada ya kupasishwa na kuwa na bima.