RAIS KIKWETE NA WANAFUNZO KATIKA PANTONI, AHANI KIFO CHA KADA WA CCM, APOKEA...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe wakiongea na watoto Samir Juma (fulana nyekundu) na Salum Chumu wakiwa katika pantoni la MV...
View ArticleTaasisi za kiraia Tanzania zachukizwa na bunge la katiba
Na Mwandishi Wetu.Umoja wa taasisi mbalimbali za kiraia Tanzania (AZAKI) umesema watanzania hawajapendezwa na vitimbi na maneno ya kashafa ya wajumbe wa bunge la katiba huku fedha za umma zikipotea...
View ArticleUmoja wa forodha wa nchi za Afrika Mashariki umeharakisha ukuaji wa uchumi.
Na Mwandishi Wetu. Utekelezaji wa mpango umoja wa forodha kwa nchi wanachama wa jumuiya ya frika mashariki umeharakisha ukuaji wa uchumi kwa nchi za ukanda huo.Waziri wa nchi afisi ya makamu wa pili...
View ArticleJeshi la Polisi Zanzibar Kuimarisha Ulinzi Pasaka.
Na Mwandishi WetuJeshi polisi Zanzibar limesema limejipanga kikamilifu kukabiliana na vitendo vyovyote vinavyoashiria uvunjifu wa Amani katika kipindi chote cha sikukuu ya pasaka.Afisa habari Mkuu wa...
View ArticleMkutano wa Mawaziri wa Sekta ya Afya Wamalizika Zenj.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Mkutano wa tisa wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Afya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki umemalizika katika ngazi ya wataalamu mjini...
View ArticleRAIS DK.SHEIN AKIZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA AMALI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Katiba na Sheria,katika kikao cha utekelezaji Mpango kazi kwa kipindi cha Julai...
View ArticleWIZARA YA KATIBA NA SHERIA YAWASILISHA TAARIFA YA UTEKELEZAJI MPANGOKAZI WAKE
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 17 Aprili,...
View ArticleWabunge watakiwa kujali maslahi ya umma
Na Khamis Haji OMKRMAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amewasihi wabunge wa bunge maalum wanaojadili rasimu ya pili ya katiba kuweka mbele maslahi ya nchi na kuelewa...
View ArticleBaba Amjeruhi Mtoto Wake kwa Kipigo.
Madina Issa na Khamisuu AbdallahMTOTO wa kiume anaekisiwa kuwa na umri wa miaka sita mkaazi wa Bambi, amepigwa na baba yake kwa kitu kizito na kumsababishia maumivu makali.Akizungumza na waandishi wa...
View ArticleMawaziri wajibu mapigo
Na Mwantanga Ame, DODOMABAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Zanzibar, wamefunguka na kuwajia juu baadhi ya wajumbe wa bunge maalum la katiba, kwa kudai hoja zao hazitikisi kibiriti kwa kuwa hazina...
View ArticlePolisi Yatangaza Donge Nono Atakaewafichua Wahusika na Mripuko Arusha.
Na Joseph Ngilisho,ArushaJESHI la Polisi nchini limetangaza bingo ya shilingi milioni 10, kwa mtu atakayesaidia kufichua magaidi waliohusika kuripua bomu katika baa ya Arusha Night Park, iliyopo...
View ArticleMufti Mkuu Z’bar asikitishwa na matusi bunge la katiba
Na Mwandishi wetuWAJUMBE wa Bunge Maalum la Katiba, wametakiwa kuzingatia kile kilichowapeleka Dodoma badala ya kuendeleza lugha za kejeli na matusi.Mufti Mkuu wa Zanzibar, Sheikh Saleh Omar Kaabi,...
View ArticleJumuiya ya Muzdalifah yashirikiana na Taasisi ya I H H ya Uturuki kudsaidia...
Wawakilishi kutoka Taasisi ya I,H,H, ya Uturuki wakisalimiana na wanafunzi chekechea wa Skuli ya Muzdalifat mara baada ya kushuka kwenye gari huko Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar. Wachinjaji mbuzi kwa...
View ArticleDk Shein : Tatizo la ukosefu wa Walimu wa Sayansi litafutiwe ufumbuzi wa kudumu
STATE HOUSE ZANZIBAROFFICE OF THE PRESS SECRETARYPRESS RELEASE Zanzibar 18 Aprili , 2014TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa Zanzibar na...
View ArticleRais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi atembelea maonyesho kuadhimisha miaka 50 ya...
Rais mstaafu wa awamu ya pili Ali Hassani Mwinyi akimsikiliza kwa makini Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) Charles Chacha wakati alipotembelea katika banda la...
View ArticleKamati ya Uongozi ya Bunge maalum la Katiba yakutana Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kushoto) akiongoza kikao cha Kamati ya Uongozi wa Bunge hilo leo mjini Dodoma wakati wakijadili mambo mbalimbali ikiwemo jinisi ya kuwasaidia...
View ArticleOperesheni ya kukagua Vyombo vya moto Zenj
Askari wa barabarani wakiwa katika zoezi la ukaguzi wa vyombo vya moto katika maeneo mbalimbali ya mji wa Zanzibar kudhibiti uhalali wa vyombo hivyo kupata ruhusa ya kutembea barabarani baada ya...
View Article